Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Shalom wana wa Mungu, Sijui niongeze sauti… lakini kichwa cha habari kinajieleza. Wanandoa hasa wamama—badilikeni. Pendeni nyumba zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume. Maana...
3 Reactions
11 Replies
601 Views
Yupo hapa kijiweni kwangu. Tangia asubuhi ni Farasi Mweupe, ambiance, Kitoko na Kigogo. Anasema ndugu zake walimuweka kiti moto kiasi cha kuishiwa raha ya sikukuu. Kwa nini hauoi na una miaka...
9 Reactions
33 Replies
703 Views
Hili swali nakuuliza wewe ambae bado hujafika umri wa kuozesha binti/kijana wako, je umejiandaa kuwa Baba/mama mkwe wa aina gani Je ni kitu gani sasa hivi unakifanya ila ukifikia hatua ya kuwa...
7 Reactions
32 Replies
444 Views
Wasalaaaaam! Ndugu zangu leo nimeona nianzishe huu uzi hapa ili pawe kama Centre maalumu ya kupumulia na kupata ushauri kwenye masuala ya mahusiano, ndoa na hata urafiki baina ya wanaume na...
2 Reactions
108 Replies
10K Views
Hii ni stori ya kweli kabisa ilikuwa miaka ya 2010 kipindi hicho ningali bado kijana nilikuwa na mpenzi wangu mmoja nilikuwa nampenda sana lakini alikuwa msumbufu hajatulia Basi kuna nyumba moja...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
MARA nyingi vijana hupata taabu sana katika suala la kuchagua mchumba. Vijana wa kiume ndio hasa hupata wakati mgumu zaidi kwani jamii imewapa wajibu wa kuanzisha mazungumzo yahusianayo na...
8 Reactions
16 Replies
12K Views
Wadada wa mjini ndiyo zao, wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa wanaume walio kwenye ndoa na angalau unajiweza kiuchumi. So, anakuambia anaomba mzae tu eti hatakusumbua, haipogo hivyo...
33 Reactions
277 Replies
41K Views
Nina hasira hapa zisizomithilika😡😡😡 Hayo nimeyakuta jioni hii niliporudi kutoka shamba kupanda mahindi na mihogo. Kesho asubuhi na mapema nabeba toto lake nafuatana nalo Hadi kwao kuwakabidhi...
4 Reactions
24 Replies
647 Views
Kwa nini uwe umeathirika kiasi cha kuzoea kutazama wanaume wenzako wakifanya ngono? Unakaa na kuangalia kwa makini video za wanaume wenzako wakishiriki tendo la ndoa na wanawake? Una shida ya...
11 Reactions
22 Replies
627 Views
Kizazi cha 2000 siyo weka mbali
6 Reactions
19 Replies
778 Views
KUINGIA NDOANI NA MTU USIYEMPENDA KUTAKUZIDISHIA UPWEKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuishi mwenyewe ni kazi, kunachosha, kunakufanya uwe mpweke. Hapo Maisha yanapoteza mvuto. Lakini...
13 Reactions
46 Replies
3K Views
Unajua sifa ya mwanamke mwenye asili ya unyevu nyevu mikononi? •Ana hisia kali za mapenzi •kizazi chake kipo karibu ni rahisi kupata mimba •huwezi kumdhuru(hata ukiwa na nia ya kutaka kumfanya...
4 Reactions
4 Replies
261 Views
Naomba niende kwenye mada, mimi na mke wangu tulioana mwaka 2015 japo tulianza mahusiano muda mrefu kidogo na mtoto wetu wa kwanza tulimpata mwaka 2013, na wa pili mwaka 2018. Nilihamishwa kikazi...
165 Reactions
1K Replies
88K Views
1. Ni singo maza ... 2. Kitoto kimezaliwa Dec/2000 kinataka ndoa ...!!! Uzi tayari. #YNWA #YANGA_BINGWA
17 Reactions
63 Replies
2K Views
guest-1788672427
pumzika kwa amani
9 Reactions
80 Replies
4K Views
Tukiwa chuo kuna mwana alikuwa anapenda sana kitu inaitwa "Njoinjoi" bila shaka nitakuwa sijakosea. Kwenye story anatoa sifa sana kuhusu hii kitu. Mim sikuwahi kuitumia kwanza hata pisi tu...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu, Tupo hapa kupeana mikakati,mbinu na ujanja wa namna gani hawa wenzetu wa jinsia ke tuwasugue vinembe na mbususu zao ili hata kesho watutafute. Pia nao hao wanawake watuambie wanapendelea...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau nime experience hiki kitu baadhi ya wanawake tena kwa idadi kubwa hasa wanaotokea kwenye familia za kawaida wakijipata hujenga dharau na kuona watu wengine hawana thamani. At least wadada...
14 Reactions
65 Replies
2K Views
MEN STOP DATING A LIABILITY! 1. A girl who doesn't have transport fare to visit someone that she claims she love. (liability) 2. A lady who can't get you birthday or valentine gift but expect...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanaJF kuna kitu nmejaribu kuexperience, nna 5 years now nimechoose kua CELIBATE lakini nimeanza kuona vitu in different pictures na nmekuja kugundua lust ndo inafanya wanawake waonekane...
32 Reactions
82 Replies
3K Views
Back
Top Bottom