Wakuu kuna binti mtoto wa alfu mbili nimemuelewa sana, nimempenda na nimemwambia mara kadhaa adhma yangu ya kumuoa, hana simu, yeye huwa namsubiria akija kanisani ndipo nionane nae
Siku za mwanzo...
Kuna jamaa alikuwa na mahusiano yenye umri wa takribani miaka kumi mpaka wakulungwa wakaamini hawa ni kifo tu kitawatenganisha, Ila huwezi amini message moja tu ya simu iliua haya mahusiano...
Kuna mshkaji hapa juzijuzi alienda mahali tulimalizia o level akakutana na msichana ambaye alikuwa rafiki yangu muda huo, yule dada akasema amenimiss mno, ikabidi mshkaji anipigie ili niongee na...
Kwa wanawake wengi hujikuta wanapoteza hisia za mapenzi kwa mwanaume ambaye ni mwema sana,mpole sana, mstaarabu,hapendi ugomvi wala migogoro,mwanaume mwenye kuomba msamaha mara kwa mara hata kama...
Nakumbuka wakati niko form 2 ndiyo nilivyoanza kuwaka hizi tamaa za wanawake basi kuna kabinti tulisoma nako shule ya msingi nikawa nimekazidi darasa moja, inamaana yeye alikuwa form one na kila...
Habari zenu vijana wapambanaji.
Nimeikuta sehemu nimecopy na kuiwasilisha kama ilivyo, twende sawa hapo chini kwa kuangalia mambo 25 ya kuzingatia unapoenda kununua Utelezi.
Mambo haya pengine...
Hii ni stori ndefu sana kipindi hicho nilikuwa naishi Mwanza nikifanya biashara ya mavazi nikinunua Dar kwenda kuuza Mwanza,na mdogo wangu wa kike alikuwa anasoma UDSM,mda mwingi nilikuwa...
Habari zenu!
Kuna hofu inazidi kutanda dhidi ya wanaume wengi kuhofia maumbile yao ya uume.
UKWELI NI KWAMBA..
Maumbile ya uume yapo sawa ondoa hiyo hofu.
Yapo sawa kivipi...?
maumbile ya...
Waslaam wakuu, kwanza naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwa mwenzetu bafetimbi kwa kuanzisha thread murwa kabisa ya Nofab challenge ambayo imeonekana kupokelewa vizuri Sana na Wana...
Iko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu ..
Sasa nilivokuja...
Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana
Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5
Huu ni...
Wakuu, Mganga wa jadi kazi yake kuponya magonjwa kwa kutumia dawa za mitishamba, hapo dhambi yatoka wapi? Dhambi ni pale mtu huyo anatumia mitishamba hiyo kuua au kufifisha mipango ya mtu...
Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa...
HATA USIKU UKITOA HARUFU NJEMA MKEO ANA PROUD IMETOKEA CHAKULA CHAKE
UNARUDI SAANANE UNAJA...MKE ANAHAMIA KWA WATOTO ALAFU UNAKUJA KANSANI USAIDIWE HAPANA HAIPO HIOO
KULA NYUMBAN TUMWELEKEZE MKE...
Nipo kwenye mahusiano na huyu Dada kwa mwaka mmoja na nusu sasa. Hatuishi pamoja lakini muda mwingi nipo kwake, ananihudumia kwa kila kitu. Mimi nafanya kazi lakini kipato changu ni kidogo sana...
Wanandoa mliofanikisha kupitia forum hii msitufanyie hivyo bana, tupeni mrejesho nasisi wengine tuchague wenyewe bila shurti kama tunazika au tunasafirisha
Habari wakuu
Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani
Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.