Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dada yangu kuwa makini na wanaume kama unataka mwanaume mwema usimpe penzi kabla ya ndoa kwa sababu ni hatari sana kwa mustakabali wako. Kumbuka mabaharia wana misemo yao ile ya kuwa kama napata...
10 Reactions
139 Replies
18K Views
Unampenda Boyfriend/ girld friend yupi ambaye unaona atakufaa na atakua mke wa kukupa mahaba uyapendayo 1. Mdogomdogo 2. Mnayelingana umri, 3. Anaye kuzidi umri.
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Gmoning guys! Haya maisha bwana unaweza ukawa single ila pembeni una mpenzi wako mzuri tu na mnaishi vizuri na maisha yanaenda. Lakini pia unaweza kuwa kuwa kwenye mahusiano na mpenzi wako ila...
8 Reactions
52 Replies
6K Views
Vicoba vina raha yake, vicoba, upatu, vibubu etc ila majanga yapo sana lakini hatukomi wamama. Mwezi wa saba kuna member mwenzetu alihitaji ada ya mtoto, mume alitumbuliwa na ada ya watoto...
35 Reactions
91 Replies
9K Views
Ningekuwa mwanaume ningeoa wanawake wengi. Ningezaa na wengi na pia ningeshindikana kabisa kwa tabia mbovu ya umalaya nakula naacha nachuna sana napia sipendi kuhonga . Ningekuwa napeleka wadada...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Japo hajanitamkia kuwa sikutaki ila dalili zinaonesha mpenzi wangu hanitaki tena kwani dalili zote hanitaki tena nimeshaziona na nimeamua kujiweka pembeni na kujianda kisaikolojia muda wowote...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Hello. This thread goes to all the ladies still in the dating game and who are still searching, these tips will help during the first date. - Don't wear too much makeup; avoid excessive lipstick...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
Habali zenu Naomben ushauri jamani niko njia panda. Nifanye nini katika hili. Nipo katika mahusiano ni Taktiban miez 2 ila shida iko sehemu moja huyu bidada nilienaye ana wivu yes wivu haswaa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa! Moja kwa moja kwenye Mada. Binafsi ni family ya Mke na watoto 4, Pia tupo kwenye mahusiano kwa muda mrefu kidogo takribani miaka 12. Nasikitika hatujafunga ndoa, lakini...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Hello guys, Ukiingia insta sahiv karibia kila mdada anaonesha kalio lake, sasa picha kama hizo zinatupa sisi wanaume mawazo yenye ukakasi. Sasa nyie wadada mnaopenda kuonesha makalio yenu kwenye...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Kwa wale wajuvi wa mambo. Kauli hii toka kwa mpenzi wako/mkeo/mama watoto wako ina maana gani? Nawasilisha.
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Kama kuna maisha ambayo yamejaa aina nyingi ya maswali basi naweza kusema kuwa maisha ya mahusiano ya kimapenzi ndio huwa na maswali lukuki. Maswali haya mara nyingi hutokea sana pindi mapenzi...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Ni miezi kadhaa sasa tangu mwanamke niliyekuwa ninaishi nae kwa miaka saba na kubahatika kupata watoto 3 kufikia maamuzi ya kusema kila mmoja ashike hamsini zake kutokana na migogoro mbali mbali...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello JF. Ebana nina mtihani hapa ndugu zangu kuna huyu bibie niko naye, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda, akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa...
7 Reactions
90 Replies
8K Views
Habari wana jf,katika kukumbuka yaliyopita kabla ya kuufunga huu mwaka,ndipo nikakumbuka hiki kisa cha miaka 8 iliyopita. Ilikuwa college fulani hivi,chumba kimoja tuliishi wanachuo wanne,mie...
3 Reactions
19 Replies
7K Views
Natafuta mdada mrembo hata Kama Ni single mother tutalea maana nam Nina watoto tayari. Awe Ana uwezo wa kujielewa na kulinda mahusiano, level ya Elimu Diploma / Degree au zaidi sawa tu. Pm iko wazi
1 Reactions
14 Replies
2K Views
nilipo kuwa mtoto nilikuwa nikimuona mzee ajafanikiwa nilikuwa najiuliza ivi uyu alikuwa atafuti pesa mbona masikini ivi. Ila sasa natambua kumbe wengine wamefungwa vifungo vibaya Sana na ndungu...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Wanaume tumeumbwa na ujasiri sana, na siyo rahisi kuonyesha udhaifu wake hata pale anapoona ameumizwa sana na mahusiano Wengi wao huwa tunazuga kama hali hiyo haituumizi kumbe moyoni mwetu...
8 Reactions
86 Replies
6K Views
Kwema Wana JF aisee Nina mwanamke pasua kichwa yaani Kila siku ni matusi ananitukana saana na pia anamtukana mama yangu Wadau nimechoka nimemuacha Rasmi alivoniita Mimi maiti. Na nimegoma...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Hi guys, Sijawasalimu siku nyingi wacha tu Leo niwasalimu, Naomba tu nisichokwe, kuna vijitabia kwenye jamii wengine hatuwezi vifumbia macho, wahusika nawasema vizuri tu na wengine humu wenye...
44 Reactions
342 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…