Yaani huyu mkubwa ana miaka 29 sasa, mjuaji sana, mbishi kama nini yaani alivyomaliza na masters basi imekuwa shida zaidi. Nawaza nasema sijui kama hta anadumu na wanaume maana ana ubabe flani...
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali...
Habari ya asubuhi wataalam mbalimbali,chap kwa haraka ngoja niende straight kwenye mada. Nikiwa zangu kwenye daladala nimepanda zangu nikakaa kwenye siti ya nyuma na wadada wawili wanaonekana...
Huyu ni mke wa mtu, nilijuana nae zaidi ya mwaka mmoja nyuma kabla hajaoelewa, tulikua marafiki na nliwai kumtongoza akagoma kumbe alikua na lijamaa linamjali na kumpenda kuliko kawaida.
Mbaya...
Habari,
Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie...
Nmetoka home kwa jamaa kumsaidia maana issue aliyo nayo si mchezo.
Jamaa ana binti mmoja kamzimikia sana. Sana ile Mbaya. Sasa binti inaonekana kama hajakolea sana.ila akipewa zawadi huchukua...
Siku zote wahenga wanaendeleza kusisitiza 'dalili ya mvua ni mawingu" Kwenye suala la ndoa, kigezo moja wapo ambacho mwanamke anatakiwa awenacho ni UVUMILIVU
Mchunguze kupitia hii kitu
-mwanamke...
Mahusiano ni mazuri pia ni matamu, mke mkarimu na unyenyekevu usioshaka, anayeheshimu na kujali mwenye upendo na huruma, asiye mpinzani wala mshindani anayeridhika na kushukuru, akijishusha na...
Maka 5 iliyopita nikiwa nasoma mwaka wa pili kule Iringa nililetewa bahasha na kijana fulani (jina kapuni) aliyekuwa class mate wangu. Ndani ya bahasha kulikiwa na sh laki 3. Fedha hizi zilitoka...
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito?
Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana...
Nina mshkaji wangu..
Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini...
Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye...
Sio wanawake sio wanaume
Wanawake wanataka wanaume wenye mafanikio sio mafanikio actually Ni material things nyumba,magari ,kazi nzuri or biashara etc
Wanaume nao wamekuwa hao hao wakiona mwanamke...
Ni mwaka na nusu sasa nina mchepuko wangu ni Traffic. Naenjoy sana. Huwa haniombi pesa na nikijifanya kutaka kumpa anacheka sana. Ananambia yeye mtaji wake ni Uniform tu akitinga hizo akaenda...
Anakufuata mwanaume hana background nzuri ya kiuchumi na elimu yenyewe ndio hivo tena, kakufuata ili muanze maisha ya mume na mke na anataka uanze naye from zero ili mfikie malengo yenu mkiwa...
Hivi wapo wanawake wanaotuhonga sisi wanaume pesa kama tuwapavyo wao?
sijawahi bahatika kupata mwanamke wa kuwa namgegeda then awe ananipa na pesa, huu ni mkosi au vipi wakuu
maana nimekuwa...
Natafuta mke mwenye sifa hizi:
1.Dini mkiristo/mlokole kipaumbele
2.elimu kwanzia form 4
3.umri miaka 20 hadi 25 mwisho
4.urefu 6ft au 5.5ft
5.rangi siokipaumbele
6. mwili wa wastani
7.kazi sio...
Majuzi nilikuja na uzi huu
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1626359/
Ile ndoa ni kama imekwisha kwani wametengana (ndoa ya Kikristo). Hiyo ni kutokana na mume kuona haina haja ya...
Miaka 9 iliyopita nilimtia mimba Mwanachuo wa mwaka wa 2 akajifungua mtoto wa kiume. Hatukuweza kuoana maana na mimi ndiyo kwanza nilikuwa nina mwaka mmoja mtaani sina mbele wala nyuma.
Hivyo...
Tendo la ndoa ni tendo la furahaa unatakiwa kulishiriki ukiwa na furaha moyoni sasa kwa yanayoendelea ni ngumu hata kulifikiria tendo hilo. Sitoshiriki tendo hilo kwa wiki 2 nikijaribu kupona na...