Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8 Getrude amelalamika pamoja kuwa...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza huyu mpenzi wangu ana tabia flani ya kunitishia tishia ataniacha akiniona nimeanza kumbadilikia anajifanya ananiambia alikuwa kama anatania tuu ila anafanya...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Chubby ladies can also be so attractive, whether haters like it or not. It's not all of us who are into them, some prefer petite ladies and others like them medium. There are all sorts of awful...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Niaje mazee[emoji16] Hivi mazee ushawahi kosa mambo kwa manzi kisa umeshindWa kujiongeza? Bwana ilikuwa darasa la saba tulienda tour.. Sasa mda wa kurudi nkabahatika siti ya mwishoni kabisa...
42 Reactions
196 Replies
32K Views
Who will be crowned winner? See the 10 finalist of the curvy competition & pick your winner. Opinion By MzansiEveningNews | Published 14 hours ago - 9980 views We may have come across some news...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Good evening sis' and bro's Najihisi mwenye furaha kushinda mtu yeyote duniani leo hii... Kuna maeneo ndom zenye ubora zimepotea na zilizobaki ni za viwango vya chini,kupasuka katikati ya gemu...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna binti mmoja nilimtongoza tukaelewana na lengo langu ni kuoa maana mi mambo ya pisi kali kwasasa hayana nafasi zaidi nahitaji mke kwasasa na si vinginevyo, sasa tulianza vema tukawa...
6 Reactions
65 Replies
6K Views
Asilimia* *99* *ya* *wanawake* *wenye* *hasira* *wanafeli* *sekta* *ya* *mahusiano* Je, wewe ni mwanamke ambaye umeachwa na huamini tena katika mapenzi? Au unaachika kila mahusiano hujui sababu...
9 Reactions
49 Replies
16K Views
Kuna baadhi ya miwanaume inayopenda kununa inakera sana. Nilikuwa na boyfriend wangu yani kila ikifika Ijumaa lazima litafute sababu ya kugombana ili linune weekend yote. Unakuta wewe mwenyewe...
20 Reactions
127 Replies
14K Views
“ Wasichana msiolewe na wanaume mnaowazidi umri au mnaolingana, maana wanaume huoa baada ya kuwachoka mama zao, hivyo akirudi nyumbani akakukuta unafanana na mama yake lazima ahame tu ” Bw.Alfred...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wadau. Kuna dogo jana alinipigia simu kuwa connection ya kazi niliyompa kipindi cha nyuma imetiki na ameshaanza rasmi. Ila alikuwa anajihoji namna ya kutumia mshahara wake wa kwanza. So...
51 Reactions
130 Replies
12K Views
leo Siku ya 7, nimetimiza Week bila Kupiga punyeto. Asante Mungu kwa kuwa unaendelea kunisaidia na kuniimarisha zaidi. Ninaweza kwa kuwa waniwezesha. Ngoja niweke NENO kwa wingi moyoni mwangu kwa...
10 Reactions
55 Replies
6K Views
Natumai muwazima! Na wale wagonjwa Mungu atawaponesha! Inatambulika humu JF kila memba kajiunga kwa sababu zake, hivyo basi, kupitia uchangiaji wa mada humu ndani kunapelekea kutokea mambo...
3 Reactions
103 Replies
8K Views
Siku hz imekuwa ni fahar sana kwa mwanamke kuwa na makalio makubwa yaan unakuta dada wa watu sura ngumu km physics lkn kisa km kalio basi analinga njia nzima tena kwa kuonesha yeye mwanamke...
16 Reactions
64 Replies
14K Views
Wengine watasema pesa, wengine mkuyenge, wengine watakuja hapa watasema ufundi wa kitandani, ila katika harakati zangu za uchakataji wa papuchi nilishafanya mengi ili kuwalizisha wanawake...
38 Reactions
97 Replies
12K Views
Naandika hapa kama masihara ila ipo siku utanielewa namaanisha nini hasa utakapofikisha miaka 60. Unapokuwa kwenye mahusiano na mtu anayeitwa mpenzi hasa mwanamke kuwa makini. Hawa wenzetu uwezo...
17 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu niwatakieni weekend njema na yenye amani tele. Leo nitaandika kifupi tu kwani wengi wamekuwa wakilalamika mada ziwapo ndefu. Tuendelee na mada: Mwanamke na mwanamume wameumbwa tofauti kwa...
38 Reactions
240 Replies
19K Views
Ilikuwa siku nzuriiiiiiiii ya kuvutia, nikaamkia machinjioni, nikanununua figo na maini kama kilo Saba, nikapitia sokoni, nikanunua kuku watatu wa kienyeji, nikawachinja na kuwanyonyoa. Nikanunua...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Nakumbuka nimeingia shule fulani hapa Dar kwa ajili ya Field, nakutana na Madam mmoja, mkali in short, moyo ukajaa uwepo wake[emoji12] Nikaone noma na iwe noma, nikaamua nitupe nyavu zangu kama...
11 Reactions
100 Replies
12K Views
Kwanini wanawake wengi ikatokea ukayumba kidogo au ukamwambia mpenzi wangu nisaidie kiasi fulani nitrejesha anasema sina, huku unajua anayo. Tabia hii inakera sana
12 Reactions
79 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…