Kauli gani iliwahi kukukosesha usingizi kwenye mahusiano?

Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
2,672
2,697
Nakumbuka nimeingia shule fulani hapa Dar kwa ajili ya Field, nakutana na Madam mmoja, mkali in short, moyo ukajaa uwepo wake

Nikaone noma na iwe noma, nikaamua nitupe nyavu zangu kama naweza kuvua, Mungu si harmonize, madam akakubali, akajibu YES. Siku naenda kumtembelea kwao, nikamkuta yupo peke yake, basi ndo ikawaa hivyoo ndugu zangu.

WIKI MOJA BAADAE...

'Yani leo mme wangu tangu asubuhi nimelala chini, najisikia kizunguzungu, kichefuchefu na hata hamu ya kula sina' Hii kauli niliipokea saa tatu usiku, nilijigeuza geuza kitandani kama mshkaki mpaka saa tisa, na nikaja kusinzia saa 9 usiku....ni balaa.

Nikamsukuma kwenda kupima kesho yake, akakutwa ana na UTI akapewa na dawa za minyoo

Nikasema 'chee!' Nikarudi tena mzigoni

Yako ipi? Share nasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom