Mpenzi wangu hataki tuachane ila ana tabia ya kunitisha ataniacha nisipofanya jambo flani

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza huyu mpenzi wangu ana tabia flani ya kunitishia tishia ataniacha akiniona nimeanza kumbadilikia anajifanya ananiambia alikuwa kama anatania tuu ila anafanya hivyo ili ani push kufanya jambo flani ambalo analolitaka yeye kama yeye

Licha hayo yote kuna siku tukiwa katika maongezi ya utani utani akachomekea kauli hii kama utani

Hivi ikitokea siku nimekuacha utafanyaje au nimechukuliwa na mtu mwingine utafanyaje au siku tumeachana utachukua uamuzi Gani hapo alikuwa anaongea kama utani tukiwa chumbani huku anacheka cheka .

Mpka sasa nina week nimefikiria sijapata majibu imenibidi nije jf humu kuomba ushauli kwanza
 
Kwa uzoefu wangu ukiona mwanamke ameanza kutoa kauli za kuachana ujue kuna mambo mawili

1.anatest Mitambo akuone utafanya nini hapa anakuwa anatingisha kibiriti

2.ameshakuona haupindui kwake ndo maana lolote analojisikia kufanya analifanya

Kwa ushauli wangu dawa ya mwanamke wa aina hiyo ni kutafuta substitute mapema sana hapo inatakiwa utafute au uwe na mwanamke wa karibu ambae amemzidi vigezo
 
Uhusiano wenu unakaribia kuingia katika "Merryless Period" hichi kipindi mtajikuta mnapitisha zaidi ya siku mbili bila kuwasiliana. Kukutana kwenu itakua ni kwaajili ya ngono tu, hali itakua mbaya pale mmoja atakapokua anashindwa kuja (mostly hua ni mwanamke).

Habari njema ni kwamba unaweza ukajichepusha kuingia katika hicho kipindi. Fika ofisini kwangu Mtaa wa Congo rouna about ya Msimbazi kwa counselling. Au nipigie simu ili nikufanyia counselling kwa simu.

Gharama ni nafuu mno.
 
Nakuona Dr criss mwauki
 
Ndoa yangu inaendelea vyema sana nashukuru kwa Huduma yako
Eeeh safi sana unajua haya mambo ni diagonal through ambayo haitakiwi kugonga post. Unaangalia wapi ulipokosea unajirekebisha kwahiyo patna wako akiamua mcheze one two inabidi ujue namna ya kuhama naye ili kuepuka mambo ya kugonga post. Sorr I mean kugombana.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza huyu mpenzi wangu ana tabia flani ya kunitishia tishia ataniacha akiniona nimeanza kumbadilikia anajifanya ananiambia alikuwa kama anatania tuu ila anafanya hivyo ili ani push kufanya jambo flani ambalo analolitaka yeye kama yeye

Licha hayo yote kuna siku tukiwa katika maongezi ya utani utani akachomekea kauli hii kama utani

Ivi ikitokea siku nimekuacha utafanyaje au nimechukuliwa na mtu mwingine utafanyaje au siku tumeachana utachukua uamuzi Gani hapo alikuwa anaongea kama utani tukiwa chumbani huku anacheka Cheka .

Mpka sasa nina week nimefikiria sijapata majibu imenibidi nije jf humu kuomba ushauli kwanza
Utoto mwingi!
 
Mpe anachotaka. Muache..... Sometimes watu wanashindwa kuwa direct na nini wanataka. Mimi sasa hivi ni free soul naishi na watu vile wanataka. Mtu akisema ananipenda it means anataka kuwa na mimi so na mimi automatically naanza kumpenda na kuwekeza katika vitendo.

Nampatia kile ninachoweza mpa, siwi mchoyo wala simdanganyi, nikiwa siwezi mpa ninachotaka na hakipo ndani ya uwezo wangu namwambia ukweli.

Why kupretend sasa na kuishi kwa mashaka as if umekalia bomu.

Miaka ya hivi karibuni jamii ya wadamu tume evolve katika swala la mawasiliano. Yaani tuna communicate hatuviziani. Ukiona mtu hatakikukwambia linalomsibu direct then jua hajielewi anafanya nini na wewe..... So better kupunguza stress kwenye kichwa..... Focus na maisha ndio mambo ya kuzonga kichwa chako sio michezo ya kitoto katika maisha ambayo in 5 to 10 years haitakuwa na mantiki yoyote wala tija katika maisha yako.
 
Uhusiano wenu unakaribia kuingia katika "Merryless Period" hichi kipindi mtajikuta mnapitisha zaidi ya siku mbili bila kuwasiliana. Kukutana kwenu itakua ni kwaajili ya ngono tu, hali itakua mbaya pale mmoja atakapokua anashindwa kuja (mostly hua ni mwanamke).

Habari njema ni kwamba unaweza ukajichepusha kuingia katika hicho kipindi. Fika ofisini kwangu Mtaa wa Congo rouna about ya Msimbazi kwa counselling. Au nipigie simu ili nikufanyia counselling kwa simu.

Gharama ni nafuu mno.
Tapeli mkubwa wewe ha ha ha ha ha ha ha
 
Mpe anachotaka. Muache..... Sometimes watu wanashindwa kuwa direct na nini wanataka. Mimi sasa hivi ni free soul naishi na watu vile wanataka. Mtu akisema ananipenda it means anataka kuwa na mimi so na mimi automatically naanza kumpenda na kuwekeza katika vitendo.

Nampatia kile ninachoweza mpa, siwi mchoyo wala simdanganyi, nikiwa siwezi mpa ninachotaka na hakipo ndani ya uwezo wangu namwambia ukweli.

Why kupretend sasa na kuishi kwa mashaka as if umekalia bomu.

Miaka ya hivi karibuni jamii ya wadamu tume evolve katika swala la mawasiliano. Yaani tuna communicate hatuviziani. Ukiona mtu hatakikukwambia linalomsibu direct then jua hajielewi anafanya nini na wewe..... So better kupunguza stress kwenye kichwa..... Focus na maisha ndio mambo ya kuzonga kichwa chako sio michezo ya kitoto katika maisha ambayo in 5 to 10 years haitakuwa na mantiki yoyote wala tija katika maisha yako.
Free soul?

Naomba digits zako
 
kama kaanza tabia hiyo karibuni basi kashapata bt kama alikua hivo tangu mwanzo basi ujue hakupendi na alikua nawe ajili ya kusogeza masiku tu
 
Back
Top Bottom