Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 1,002
- 1,473
Habari wakuu, kwa utafiti wangu wa kawaida kutokana na miangaiko na pirika pirika za maisha nmeona kuwa wanaume tunatafuta pesa kwa ajili ya wanawake haswa..japo zipo sababu nyingine lakini kuubwa ni kuhusu hawa viumbe.
Hivi kwanni mwanaume akipata hela anaona kitu pekee alichokosa kwa wakati huo ni WANAWAKE
Na kwa upande wa wanawake, mwanamke akiwa na pesa kuwa na mwanaume si kipaombele chake kikubwa saana!! yan anaona anaweza endesha maisha yake bila shaka kabisa.
uzi tayarii!! karibuni