Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi nilikuwa nimelewa basi kichwa kidogo hakikutaka mapumziko kabisa kila dakika network inasoma basi katika kupepesa macho na macho yakaona kilicho dhaniwa ni lulu kumb ni limao Basi mazingira...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Mniwie radhi maana Mimi si mwandishi mzuri wala msimuliaji maridadi wa stori ila kidogo naamini mtanielewa ..... Siku moja nilikua kwenye kijiwe cha kahawa mitaa ya kigamboni....mida ya kama saa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu mimi nina mke na nina watoto na mke wangu. Pia nina mwanamke mwingine nilizaa naye. Mkipitia nyuzi zangu za nyuma nilishalileta kwenu hili swala, na mlinishauri vizuri tu. Kwa kukumbushia...
7 Reactions
35 Replies
6K Views
Kila zama na mambo yake...! Ndio,zama hizi zenye kile kinachoitwa utandawazi, wenye kila aina ya taarifa unayotafuta, Wenye kila aina ya mambo mapya. Siku hizi imekuwa kama desturi kuwa mtu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari ya wikendi, Kwa hakika nimehitimisha kua wanawake wanene na wenye makalio makubwa sana ni wazuri kwa kuwatazama tu ila sio wazuri kitandani. Huu utafiti nimeufanya mwenyewe na jana ndio...
23 Reactions
258 Replies
95K Views
Wanajamvi habari za jioni wakuu tupeane mbinu "Hivi mwanamke akijifungua inatumia muda gani mpaka asex mana wife kajifungua ndo wiki inakata hivi lakini kwa mwanaume rijali inakuwa ngumu kuvumilia...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Basi bhana leo nafungua "wasap" yangu nakutana na picha kama kumi hivi za ex wangu mmoja hivi kapigwa balaaa na jamaa anasema saizi Niko single tena hataki mahusiano kabisa Huyu dada nilikua nae...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Habarai wana jamii , kuna rafiki yangu , alinipa kazi ya kuwa mshenga ,( kupeleka barua ya uchumba kwa wazazi wa binti) mm nikakubali nikaandika barua na ikapangwa siku ya kupeka, ilipofika cku ya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimejaribu kutafakari ni kwanini watu wengi waliopo ndani ya ndoa bado wana mapenzi na wachumba wao wa zamani kuliko wabeba mizigo ambao wamejitolea kuolewa nao au kuwaoa na kubeba majukumu yote...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Jeshi la polisi nchini limetoa report yake ya mwaka 2020 na kusema mauaji mengi yanayotokea kwa mwaka huu yanasababishwa na wivu wa mapenzi! Report hii ya polisi ni ya kushitusha sana hasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu dada nilikutana nae mwaka 2009 nikiwa nanukia mafuta ya mgando ya Jelly ya shilingi mia tatu Slay queen akaniona kituko nilipomwambia “nahitaji kupata namba yako nina jambo la kuzungumza na...
29 Reactions
86 Replies
10K Views
Habari za majukumu ndugu zangu? Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikiona mada hapa jukwaani za kuhusu ma single mama ila sikuwa mchangiaji mzuri katika muktadha huo.. Ila nliona pande mbili kuu...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Hello guys, Hii research nimeifanya kwa mda mrefu, sample imetoka mitandaoni, na kwenye jamii ninayoishi pia... Mke wa mwisho wa jirani yetu ametoka kwenye familia maskini, na jirani yetu ni MTU...
5 Reactions
58 Replies
8K Views
2018 nilikuwa na ndoto kubwa, niliona matumaini na mafanikio ya kiuchumi. Nilikopa nikawekeza, 2019 mambo yalibadirika biashara zikagoma kwa uzembe na nyingine ilikuwa lazima zife hasa za kilimo...
23 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna siku genye zilinizidi nikaamua nitembeze makanyagio yangu hadi kwa hawa dada solution ya matatizo kwa gharama ndogo... nilivyofika niliona bi mdada mzuri safi kabisa aliyenona, na...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Ndoa zina mengi. Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia...
22 Reactions
121 Replies
10K Views
Yani tangu niachane na yule mchepuko plus kununiwa na wife kujumlisha Hawa wataka pesa ukimtongoza tu basi siku hizi nimejikuta sina hamu kabisa ya Mapenzi Hata mashine inasimama pale...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Nipo ninaandaa makala moja kuhusiana na idara ya Ujasusi ya Israel (MOSSAD) ilivyoweza kutumia mbinu ya...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Habarini wana jamvi wa MMU. Natumai ni wazima wa afya. Kuna jambo moja la muhimu Sana, no ukwel usiopingika kwamba kwenye mahusiano kuna mabonde na milima.lakini ukiona mwanamke (mpenzi wako)...
11 Reactions
16 Replies
6K Views
Mwanzoni mwa wiki hii mpenzi wangu aliniambia tuachane, huku akisema kwamba wala nisije nikamtafuta, au kumuomba kwamba tuonane. Mimi nilifikiria hiyo kauli na nikamuuliza zaidi ya mara mbili, Ni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…