Wanawake wengi wanaolewa na wanaume kwasababu ya shida za kipesa, na si mapenzi

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,631
Hello guys,

Hii research nimeifanya kwa mda mrefu, sample imetoka mitandaoni, na kwenye jamii ninayoishi pia...

Mke wa mwisho wa jirani yetu ametoka kwenye familia maskini, na jirani yetu ni MTU wa makamo lyk 55 years old na huyo mke aliemuoa ni kama 23 years old sasa kuna mapenzi hapo? wadada wengi wanaoolewa na vibabu sijui wanaishije kwenye ndoa, ingawa wanakaa miaka mingi kidogo na hao vibabu kwenye ndoa.

Wadada wengi wako tayari kufeki mapenzi (ku-pretend kuwa anakupenda) ili umuoe, hii hutokea akishagundua una nyumba au gari, cheo, pesa, etc hata kama ulishawahi kumtongoza hlf akakukataa. wanaume wengi hapa watakuwa shuhuda..

Men of influence kama Mzee Mengi, Diamond platnumz, na rais donald trump...wote wamependewa hela na wake zao. Na sie wanaume tujitahidi kuchagua wanawake wa maana LA sivyo tutaishia pabaya
 
Mkuu, kwa sasa love is for sale to most of women
Msichana akitangaza nyumbani au kwa marafiki kuwa ana mchumba watamuuliza kazi ya huyo mchumba, kama ana nyimba au gari, nk

Kwa hiyo ili aonekane ni mrembo mjanja atahakikisha anapata the big fish.
Masikini tutabaki kuumizwa tu.

Wanawake wenye mapenzi ya dhati ni wachache sana.
Wengi wana mapenzi ya chati
 
Tafuta pesa kijana vinginevyo utalalamika mpaka kifo na utaishia kuoa mwanamke zero brain ili mufarijiane katika upumbavu wenu.

Nikukwambia unipe sababu hata moja ya wewe kuniita mpumbavu unayo? Kama ww unataka kuoa mwanamke anaekupendea pesa bhasi sawa, ila usifosi kila mtu awe na mawazo kama yako kinjektile
 
Saa nyingine unakuwa na mtu kwny mahusiano wakati yeye ana malengo yake maalum sio mapenzi. Unaona tu mtu hana hata mawazo ya maendeleo yupoyupo tu
 
Mkuu hii kitu ni nature ipo enzi na enzi:

Hawa alimkuta Adamu kwenye bustani ya Eden akiwa na kila kitu. Adamu alikua anatawala dunia na vyote vilivyopo, kwa maana nyepesi Hawa alimtamani Adamu kwa vitu alivyonavyo/anavyovimiliki.

Kipindi cha kale mfano zama za mawe, chuma n.k, wanawake walikua wanawatamani wanaume wenye maumbo makubwa(giant) kwani wao ndio walikua wanauwezo mkubwa wa kutoa huduma(chakula, ulinzi n.k).

Hata sasa kwenye hiki kipindi tunachoishi wanawake wanawatamani wanaume wenye hela na ushawishi katika jamii. Sababu kuu ni ile ile, wanaume wa namna hii wanauwezo wa kutoa huduma/mahitaji muhimu (chakula, makazi, mavazi) kwa urahisi.

Ukweli machungu ni huu:

Mwanaume kiasili ni mtoaji (provider), sasa unakuaje mtoaji bila kuwa na kitu?. Lazima mwanaume uwe na hela za kutosha kuweza kuwa na mahitaji muhimu na ya ziada. Pia mwanaume ni kiongozi wa familia au jamii, sasa unakuaje kiongozi bila ya kuwa na ushawishi au hadhi katika jamii husika?.

Mwanamke ameumbiwa kutamani ili aweze kutawalika. Mwanzo 3:16
Hivyo mwanamke hutamani mwanaume anayeweza kutoa mahitaji /huduma bora kwa wepesi. Hapo ndipo huangukia kwa wanaume wenye hela, mali ushawishi au wenye hadhi fulani kwenye jamii.

Nini kifanyike:
Wanaume tuache kilia lia, tutimize wajibu wetu wa kutoa huduma/mahitaji. Tutafute hela za kutosheleza, tuwe wenye ushawishi kwenye jamii zetu na watu wenye hadhi.
 
In short hamna mapnz bila pesa hyo ni kujifariji unapokuwa na mtu mpnz au mke kuna kitu amekuona kwako! Naturally female choose! so huwezi izuia hyo siamini sana ktk bible ila kuna sehem inaingiliana na nature ambayo ndo naiamini mm “mwanamke ameumbiwa kutamani”
Cha kufanya find more money, find more woman and more babies!
 
Mkuu hii kitu ni nature ipo enzi na enzi:

Hawa alimkuta Adamu kwenye bustani ya Eden akiwa na kila kitu. Adamu alikua anatawala dunia na vyote vilivyopo, kwa maana nyepesi Hawa alimtamani Adamu kwa vitu alivyonavyo/anavyovimiliki.

Kipindi cha kale mfano zama za mawe, chuma n.k, wanawake walikua wanawatamani wanaume wenye maumbo makubwa(giant) kwani wao ndio walikua wanauwezo mkubwa wa kutoa huduma(chakula, ulinzi n.k).

Hata sasa kwenye hiki kipindi tunachoishi wanawake wanawatamani wanaume wenye hela na ushawishi katika jamii. Sababu kuu ni ile ile, wanaume wa namna hii wanauwezo wa kutoa huduma/mahitaji muhimu (chakula, makazi, mavazi) kwa urahisi.

Ukweli machungu ni huu:

Mwanaume kiasili ni mtoaji (provider), sasa unakuaje mtoaji bila kuwa na kitu?. Lazima mwanaume uwe na hela za kutosha kuweza kuwa na mahitaji muhimu na ya ziada. Pia mwanaume ni kiongozi wa familia au jamii, sasa unakuaje kiongozi bila ya kuwa na ushawishi au hadhi katika jamii husika?.

Mwanamke ameumbiwa kutamani ili aweze kutawalika. Mwanzo 3:16
Hivyo mwanamke hutamani mwanaume anayeweza kutoa mahitaji /huduma bora kwa wepesi. Hapo ndipo huangukia kwa wanaume wenye hela, mali ushawishi au wenye hadhi fulani kwenye jamii.

Nini kifanyike:
Wanaume tuache kilia lia, tutimize wajibu wetu wa kutoa huduma/mahitaji. Tutafute hela za kutosheleza, tuwe wenye ushawishi kwenye jamii zetu na watu wenye hadhi.
Umemaliza mkuu
 
Nyie watazamaji ndio mnamuona mtu mzma lakn mkiwa pamoja kila mmoja anamuona mwenzie wapo sawa nae,mm na miaka 22 mtu wangu ana miaka 46 watu wanasema mtu mzma sijui nn na nn mm naona nipo sawa nae
 
Apo mnalingana kabisa mkuu. Big up
Nyie watazamaji ndio mnamuona mtu mzma lakn mkiwa pamoja kila mmoja anamuona mwenzie wapo sawa nae,mm na miaka 22 mtu wangu ana miaka 46 watu wanasema mtu mzma sijui nn na nn mm naona nipo sawa nae
 
Back
Top Bottom