Usimamishaji wangu umekua wa nadra

Usimamishaji wangu umekua wa nadra

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,730
Reaction score
8,807
Yani tangu niachane na yule mchepuko plus kununiwa na wife kujumlisha Hawa wataka pesa ukimtongoza tu basi siku hizi nimejikuta sina hamu kabisa ya Mapenzi

Hata mashine inasimama pale inavyojiskia hasa ninapobanwa Sana na mkojo

Kichwa changu naona hakipo sawa kabisa siku hizi mawazo ya Mapenzi na kutongoza yapo mbaliiiii mnoo

Jamani anaejua Tiba ya kuondoa Hali hii na kurudi ile Hali yangu ya zamani kabla ya hii misuko suko haijanitokea anisaidie najihisi siko sawa akilini kabisa .
 
Tatizo Uchumi ndio umetufunga mengi, kipindi kile tunamiliki michepuko mingi Uchumi ikuwepo tofauti na hivi sasa.

"" "" ukweli utabaki palepale hali ya Uchumi imetufanya kila mwanamke ukimuona unaona kama mwanaume mwenzio""
 
Mitano tenaaaaaa
IMG-20201221-WA0001.jpg
 
Kuna mama mmoja hivi alisema yeye kwake anamshukuru sana Magufuli kwani siku hizi mumewe saa mbili yupo nyumban tofauti na zamani,
 
Back
Top Bottom