Mthamini anayekupenda sababu majuto hayatokusaidia

Goguryeo

JF-Expert Member
May 17, 2019
2,502
4,501
Mniwie radhi maana Mimi si mwandishi mzuri wala msimuliaji maridadi wa stori ila kidogo naamini mtanielewa .....

Siku moja nilikua kwenye kijiwe cha kahawa mitaa ya kigamboni....mida ya kama saa 2:30 ivi usiku watu wakiwa na pilika pilika za kurudi makwao na wengine biashara nk......

Akaja brother mmoja pale ambapo tulikua tumekaa kama watu wa4 ivi ambapo mara ya Kwanza alikua amekaa pembeni flani ivi peke yake yupo na simu japo Sisi hatukumzingatia kiivyo tukawa tunaendelea na stori za hapa na pale.....ambàpo pale kulikua na vijana wengi wengi ....."seniors" na "juniors"....
mada kubwa ilikua ni mahusiano ya wanajamii hasa mahusiano ya me na ke...

Mada ikawa yamoto kweli kama unavyoelewa ukikaa na wakongwe "seniors" wakawa wanamwaga madini kweli kweli...

Yule br alosogea mara ya Kwanza alikua kakaa kimya tu anasikiliza kwa makini ......baada ya muda akaona achangie nae pia baada ya kuona nafikiri kuna mahala ameguswa japo ya kwake alitoa kama ya moyoni kwake.....
STORI inaanzia hapa..............

Anasema kwamba yeye ali-ame oa mke na ana mtoto mmoja na ana usafiri wake na kazi yake nzuri tu ......yupo kwenye makampuni ya simu miaka kama 7 au 8 huko mpaka muda ule tulikua tunaongea nae......

Alituonesha na picha ya mke wake kamsave mbele kwenye simu yake na nyingine za kwenye gallery......aisee ni pisi kweli ....😋 Inshort ni mzuri Kwa macho yangu nlivo-rate......Sura ,umbo, colour nk.....

Anasema kwamba alikua anaishi na mke wake fresh tu na walifunga ndoa ya maana ....gharama nzuri tu sababu hela haikua tatizo Sana.....

Kama kawaida mzee baba na hela ipo na harakati za hapa na pale ....kuna bidada akaingia hapo Kati kati...... nafikir kutokana na life lake na hela ipo aaaah mwamba akazama fresh.......huku jamaa ana mke walohustle nae toka sijui wapi huko ........

Life likaendelea ila jamaa Kwa sababu hela ilikuepo so unakuta kama weekend anaenda viwanja kidogo na marafiki kujipumzisha nn Ivo...basi na Yule bibie akashikilia haswaaaa.......

Kama unavyojua tena .....mizani ikalalia upande mmoja......aaaaah br akawa tena hasikii la mkuu, ustaadh, shekh wala askofu.......akawa ni mtu wa kazin, kujirusha na bibie ,spend Sana......

Mke wake kuja stuka anaona hamuelewi elewi Mme wake....kufatilia huku na kule ndo kujua kwamba tayar kuna bibie huko amekaba mpaka penati ......

Basi br nae kiburi cjui bibie aliongeza na mambo yetu Yale ya kiasili 😁 aaaah br akaamua kumtosa mke wake ....japo sidhani kama alimpa talaka .....ila ndo Ivo kila mmoja akawa na mishe zake ......halafu br akaendelea Kula raha na bibie huyo wa pemben.....(hakushauriwa na Yule bibie ni akili yake mwenyewe iliifanya maamuzi anasema )

Wiki kama mbili tatu yule bibie siku moja jamaa wamelala simu ya bibie ikaita .....akapokea ILA br nae akawa ameamka naona anasikiliza .......aaaah bibie bila wasi wasi akaongea na alokua anaongea nae wakamaliza .....alikua ni mzee baba mwingine .....

Baada ya simu kukata br akauliza nani huyo .....aàah bibie hapa na pale akamwambia huyu ni mme wake mtarajiwa wanatarajia kufunga ndoa soon ......br anakwambia alivurugwa, changanyikiwa Kwa anavyosema yeye ......

Kwanza akawa haamini masikio na macho yake halafu pili ni wiki mbili tu tangu amemtimua mkewe Kwa ajili ya huyo mwanamke at the end anachomwambia anaona kama anaota na anasema alikuwa anaongea hana hata chembe ya woga.....

Basi kutokea hapo mapenzi yakawa kwishney japo huyo bibie akamwambia br kwamba ila ukinihitaji muda wowote usihofu ncheki ntakuja nikutimizie haja yako......

Anasema kwamba alichanganyikiwa ikambidi baada ya kufikiria akaona akamrudie mke wake ......amuombe msamaha warudiane wayajenge. basi naona taratibu akamfata mkewe naona na alowachukua yeye wakaenda yazungumza mkewe naona anampenda jamaa (Kwa anavyosema yeye) so akamsamehe akarudi home maisha ikabidi yaendelee......

Nini sasa siku Ile kilikua kinamuumiza mpaka akawa amekaa pale pembeni ili Hali kama ni mke ashamsamehe na maisha yanaendelea.....?

br anaendelea kusema kwamba ......kipindi yupo na huyo bibie wa pemben alikua ni mtumiaji mara moja moja wa kinywaji kuondoa stress na uchovu.....sasa kipindi mke wake alipokua anakuja hapo alipokua anakunywa akiwa na huyo bibie .....alikua anamfukuza, anamjibu hovyo na mbaya zaidi kumtukana (hapo anapause kdg kuonesha ni kitendo anacho kijutia sana ....) na baada ya kua anamfata fata mmewe akaamua kumtimua kabisa......ili wale vizur maisha na yule bibie wa kando....
halafu pia kilichokua kinamuumiza zaidi anasema wenzake walianza nae kazi Wana nyumba1 wengine 2 ,viwanja, miradi yao mingine nk......wakati yeye hana ata kiwanja labda usafir tu pamoja na kwamba ana kazi nzuri na ana miaka kazini ......(anadai pesa nyingi ameitumia kwa starehe , na Yule bidada naona alikua amefinya kweri kweriii🤓)

kipindi chote kijiwe chote kinamsikiliza br .....cc juniors ndo tumetulia angalau seniors kidogo wanauliza ili stori inoge vizur.....

kikubwa anasema mke wake amerudi na wapo pamoja tena na mke hana kuonesha kwamba anamchukia mmewe ila roho inamuuma kila anapokutana na Sura na mkewe anakumbuka jinsi alivyokua anamtusi, anamfukuza akiwa na yule bibie na hapo kinywaji kikiwa kichwani ......anasema "najuta nlomfanyia mke wangu"

anasema saivi saa 2:30 usiku lakini mpaka nahofu maana nikienda home nikamkuta mke wangu kanipokea ,kaniandalia chakula, maji etc najisikia aibu ,moyo unaniuma, najiona ni mkosaji na ndo maana mara ya Kwanza mliniona nimekaa pale pembeni hata home sielewi niende saa ngapi ......ila nlivosikia mna ongea hapa nkaona nisogee na nimependa maongezi yenu ......

basi kijiwe masenior wenzake wakaanza kumpa moyo na kumwambia hivi na vile .......kama kupita ndo Ivo yashapita na ni wewe uamue kubadilika,kumpenda usiwe unajishtukia nk ......wakaongea mengi

mpaka anaaga pale kijiweni Kwanza tulizungushiwa kahawa wote halafu nikaona kabisa yule br amefurahi na akatuaga kuwahi nyumbani kwake.......

brother kama upo humu ,niwie radhi Kwa kuileta stori yako hapa japo ni Kwa lengo Tu la waungwana wapate kujifunza kama ulivyotupa stori hii siku Ile tupate kujifunza ....

cc brother, kijiwe cha kahawa, kigamboni.
 
Saa zingne ukute haikua akili yake alifungwa na uchawi wa huyo hawara sasa baada yakumtumia akamuachaa ...
 
Sikuhizi unaweza kumtongoza mwanamke akakukatalia lakini ukamuomba mechi akakupa kiroho safi.

Naongea kama shuhuda.
 
Saa zingne ukute haikua akili yake alifungwa na uchawi wa huyo hawara sasa baada yakumtumia akamuachaa ...
Yah huenda mkuu na pia kuwa karibu na Mungu pia inasaidia hatutakiwi tujisahau sana....
 
Wanaume somo Hilo..nadhani mmelielewa
nimekumbuka hili baada ya kuona uzi mmoja hapa kwamba kuna mzee Baba anasema kamzalisha mtu halafu sijui hana hisia nayeye anamtafuta ampendae.....nikaona niandike kisa hiki huenda akajifunza na kujua kwamba "karma" ipo.
 
Mniwie radhi maana Mimi si mwandishi mzuri wala msimuliaji maridadi wa stori ila kidogo naamini mtanielewa .....

siku moja nilikua kwenye kijiwe cha kahawa mitaa ya kigamboni....mida ya kama saa 2:30 ivi usiku watu wakiwa na pilika pilika za kurudi makwao na wengine biashara nk......

akaja brother mmoja pale ambapo tulikua tumekaa kama watu wa4 ivi ambapo mara ya Kwanza alikua amekaa pembeni flani ivi peke yake yupo na simu japo Sisi hatukumzingatia kiivyo tukawa tunaendelea na stori za hapa na pale.....ambàpo pale kulikua na vijana wengi wengi ....."seniors" na "juniors"....
mada kubwa ilikua ni mahusiano ya wanajamii hasa mahusiano ya me na ke...

mada ikawa yamoto kweli kama unavyoelewa ukikaa na wakongwe "seniors" wakawa wanamwaga madini kweli kweli...

Yule br alosogea mara ya Kwanza alikua kakaa kimya tu anasikiliza kwa makini ......baada ya muda akaona achangie nae pia baada ya kuona nafikiri kuna mahala ameguswa japo ya kwake alitoa kama ya moyoni kwake.....
STORI inaanzia hapa..............

anasema kwamba yeye ali-ame oa mke na ana mtoto mmoja na ana usafiri wake na kazi yake nzuri tu ......yupo kwenye makampuni ya simu miaka kama 7 au 8 huko mpaka muda ule tulikua tunaongea nae......

alituonesha na picha ya mke wake kamsave mbele kwenye simu yake na nyingine za kwenye gallery......aisee ni pisi kweli ....😋 Inshort ni mzuri Kwa macho yangu nlivo-rate......Sura ,umbo, colour nk.....

anasema kwamba alikua anaishi na mke wake fresh tu na walifunga ndoa ya maana ....gharama nzuri tu sababu hela haikua tatizo Sana.....

kama kawaida mzee baba na hela ipo na harakati za hapa na pale ....kuna bidada akaingia hapo Kati kati...... nafikir kutokana na life lake na hela ipo aaaah mwamba akazama fresh.......huku jamaa ana mke walohustle nae toka sijui wapi huko ........

Life likaendelea ila jamaa Kwa sababu hela ilikuepo so unakuta kama weekend anaenda viwanja kidogo na marafiki kujipumzisha nn Ivo...basi na Yule bibie akashikilia haswaaaa.......

kama unavyojua tena .....mizani ikalalia upande mmoja......aaaaah br akawa tena hasikii la mkuu, ustaadh, shekh wala askofu.......akawa ni mtu wa kazin, kujirusha na bibie ,spend Sana......

mke wake kuja stuka anaona hamuelewi elewi Mme wake....kufatilia huku na kule ndo kujua kwamba tayar kuna bibie huko amekaba mpaka penati ......

basi br nae kiburi cjui bibie aliongeza na mambo yetu Yale ya kiasili 😁 aaaah br akaamua kumtosa mke wake ....japo sidhani kama alimpa talaka .....ila ndo Ivo kila mmoja akawa na mishe zake ......halafu br akaendelea Kula raha na bibie huyo wa pemben.....(hakushauriwa na Yule bibie ni akili yake mwenyewe iliifanya maamuzi anasema )

wiki kama mbili tatu yule bibie siku moja jamaa wamelala simu ya bibie ikaita .....akapokea ILA br nae akawa ameamka naona anasikiliza .......aaaah bibie bila wasi wasi akaongea na alokua anaongea nae wakamaliza .....alikua ni mzee baba mwingine .....

baada ya simu kukata br akauliza nani huyo .....aàah bibie hapa na pale akamwambia huyu ni mme wake mtarajiwa wanatarajia kufunga ndoa soon ......br anakwambia alivurugwa, changanyikiwa Kwa anavyosema yeye ......

Kwanza akawa haamini masikio na macho yake halafu pili ni wiki mbili tu tangu amemtimua mkewe Kwa ajili ya huyo mwanamke at the end anachomwambia anaona kama anaota na anasema alikuwa anaongea hana hata chembe ya woga.....

basi kutokea hapo mapenzi yakawa kwishney japo huyo bibie akamwambia br kwamba ila ukinihitaji muda wowote usihofu ncheki ntakuja nikutimizie haja yako......

br anasema kwamba alichanganyikiwa ikambidi baada ya kufikiria akaona akamrudie mke wake ......amuombe msamaha warudiane wayajenge......
basi naona taratibu akamfata mkewe naona na alowachukua yeye wakaenda yazungumza mkewe naona anampenda jamaa (Kwa anavyosema yeye) so akamsamehe akarudi home maisha ikabidi yaendelee......

nini sasa siku Ile kilikua kinamuumiza mpaka akawa amekaa pale pembeni ili Hali kama ni mke ashamsamehe na maisha yanaendelea.....?

br anaendelea kusema kwamba ......kipindi yupo na huyo bibie wa pemben alikua ni mtumiaji mara moja moja wa kinywaji kuondoa stress na uchovu.....sasa kipindi mke wake alipokua anakuja hapo alipokua anakunywa akiwa na huyo bibie .....alikua anamfukuza, anamjibu hovyo na mbaya zaidi kumtukana (hapo anapause kdg kuonesha ni kitendo anacho kijutia sana ....) na baada ya kua anamfata fata mmewe akaamua kumtimua kabisa......ili wale vizur maisha na yule bibie wa kando....
halafu pia kilichokua kinamuumiza zaidi anasema wenzake walianza nae kazi Wana nyumba1 wengine 2 ,viwanja, miradi yao mingine nk......wakati yeye hana ata kiwanja labda usafir tu pamoja na kwamba ana kazi nzuri na ana miaka kazini ......(anadai pesa nyingi ameitumia kwa starehe , na Yule bidada naona alikua amefinya kweri kweriii🤓)

kipindi chote kijiwe chote kinamsikiliza br .....cc juniors ndo tumetulia angalau seniors kidogo wanauliza ili stori inoge vizur.....

kikubwa anasema mke wake amerudi na wapo pamoja tena na mke hana kuonesha kwamba anamchukia mmewe ila roho inamuuma kila anapokutana na Sura na mkewe anakumbuka jinsi alivyokua anamtusi, anamfukuza akiwa na yule bibie na hapo kinywaji kikiwa kichwani ......anasema "najuta nlomfanyia mke wangu"

anasema saivi saa 2:30 usiku lakini mpaka nahofu maana nikienda home nikamkuta mke wangu kanipokea ,kaniandalia chakula, maji etc najisikia aibu ,moyo unaniuma, najiona ni mkosaji na ndo maana mara ya Kwanza mliniona nimekaa pale pembeni hata home sielewi niende saa ngapi ......ila nlivosikia mna ongea hapa nkaona nisogee na nimependa maongezi yenu ......

basi kijiwe masenior wenzake wakaanza kumpa moyo na kumwambia hivi na vile .......kama kupita ndo Ivo yashapita na ni wewe uamue kubadilika,kumpenda usiwe unajishtukia nk ......wakaongea mengi

mpaka anaaga pale kijiweni Kwanza tulizungushiwa kahawa wote halafu nikaona kabisa yule br amefurahi na akatuaga kuwahi nyumbani kwake.......

brother kama upo humu ,niwie radhi Kwa kuileta stori yako hapa japo ni Kwa lengo Tu la waungwana wapate kujifunza kama ulivyotupa stori hii siku Ile tupate kujifunza ....

cc brother, kijiwe cha kahawa, kigamboni.
Hii ni shule kubwa sana kwenye maisha kwanza inaonyesha wanawake wenye heshima, upendo na adabu bado wapo, pili kwa Wanaume fundisho la kwanza kuwa na malengo ktk maisha hasa kwenye maendeleo ya kifedha na kifamilia,ili ukipata pesa tu inakwenda moja kwa moja kwenye malengo yako na isikae mfukoni, Ukiwa na mke ambaye anakuheshimu, hakikisha hata kama unapiga nje asijue.
 
naam mkuu umenena vema...
 
Back
Top Bottom