Hivi ni kweli kwamba mwanamke akishazaa thamani yake hushuka?

dracular

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
737
1,036
Habari za majukumu ndugu zangu?

Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikiona mada hapa jukwaani za kuhusu ma single mama ila sikuwa mchangiaji mzuri katika muktadha huo.. Ila nliona pande mbili kuu zikichuana vikali kwa hoja kali kati ya wale wanao amini kuwa thamani ya mwanamke haishuki kwa kuzalishwa na wale walio sema inashuka.

Back to the point...
Mwaka 2014 nilipataga mwanamke mmoja mzuri tu na nlimpenda kama vile ambavyo mwanamke anapaswa kupendwa ila baadae alibadilika ghafla kitabia baada ya kupata mtu aliekuwa vizuri kiuchumi kuliko mimi na akanimwaga. Ila chakushangaza mwaka 2016 nilikutana nae akiwa tayari ameshazalishwa mtoto na yule jamaa then jamaa akasema hayupo tayari kuishi nae basi alivyoniona kaniganda turudiane akidai yupo tayari kuishi na mimi muda nitakaona mimi unafaa yaani hata siku hiyohiyo nimchukue ila tu nijitambulishe kwao.. Kwa kwelii hali ile ilinishangaza sana kwa sister duu kama yule kulegeza misimamo kiasi kile.. Nami pia nilimpotezea wala sikutaka hata kumrudia japo alionesha huruma sana.

Not only that...
Mwaka 2018 nilikutana na mtoto mmoja mkali hatari.. Nikamwaga verse zangu akanichomolea, nikabembeleza kwa kipindi kirefu bila mafanikio yoyote zaidi ya kuambulia maneno ya kejeli na dharau tu.. Nikaona isiwe tabu nikafata maisha yangu.

Sasa week iliyopita kanitafuta hata sijui namba yangu kaitoa wapi.. Tukapiga story kwa muda mrefu then akanambia kuna jamaa kamzalisha ila haishi nae.. Na lile ombi langu la kipindi kile yupo tayari kuishi na mimi muda wowote nitakao hitaji mimi ila cha muhimu nikajitambulishe kwao.

Sasa nachojiuliza mbona mimi ni yule yule ni kipi hawa kina mama kinawarudisha kwangu? Je, kuzalishwa kwao kumewapotezea soko la wanaume?
 
...ngoja nikuibie siri.

Mwanamke kadiri anavyopandwa na wanaume tofautitofauti ndo thamani yake hupungua na misimamo na vigezo hulegea.

...Sasa sikwambii akishazalishwa na hapo ukiingia mkenge tu atamkumbuka bwana yake aliemzalisha, sikwambii yule Alie mtoa bikra...!!!

Mwanamke mzuri wa kuoa alie na mtoto/watoto ni mjane tuu...
 
...ngoja nikuibie siri.

Mwanamke kadiri anavyopandwa na wanaume tofautitofauti ndo thamani yake hupungua,na misimamo na vigezo hulegea.

...Sasa sikwambii akishazalishwa,na apo ukiingia mkenge tu atamkumbuka bwana yake aliemzalisha,sikwambii yule Alie mtoa bikra...!!!

Mwanamke mzuri wa kuoa alie na mtoto/watoto ni mjane tuu...
😎😎Duuuuhh!!
 
Kama huyo X wako yupo hivi, hata tukikushauri itakuwa kazi bure
0200827-0032.jpg
 
Wanaume halisi huwa tunafanya maisha na ngono kwahiyo hayo mambo ya kuchagua huyu single mother sijui yule vipi hayo ni ya wale men feki. Kwahiyo ni fimbo fimbo tu wa mbele ni sawa tu na wanyuma.



MAGUFULI4LIFE.
 
Mwanamke aliyezaa ndani ya ndoa heshima yake na thamani yake hupanda zaidi ya alivyokuwa awali familia zitampenda na jamii kwa ujumla, Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa thamani yake huporomoka zaidi ya alivyokuwa hata akiwa anajiweza kiuchumi hilo liweke kichwani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom