Habari za jioni,
Nahitaji ushauri kwa jambo lifuatalo, binafsi mimi kuna msichana flani hivi nilisoma naye primary from standard three to seven nilitokea kumpenda sana ila sikumwambia kutokana na...
Moja kwa moja naomba niende kwenye mada wakuu (me/ke).Leo nimeona kidogo niweke wazi suala la single mother's katika relation ship hasa kwa wale wanaotaka kuoa but excuse me I stand to be...
Nilinunua kitanda kipya cha Tsh 450,000 nika muomba mpenzi wangu anihifadhie kwake maana kwangu kulikuwa hakuna nafasi akanikubalia
Sasa cha ajabu Mimi nilipewa likizo ndefu kazin zaid ya miez...
Usiku mwema.
Mada yajieleza, ikiwa mko messenger, fb, WhatsApp, sms n.k halafu ukaona mwenzako anatumia kionjo cha 'mmmhhhhh' hapo huhitaji mganga kuja kukupigia ramli.
She/he loves you
Natumai hamjambo wakuu.
Vijana wengi huwa na ndoto zifuatazo kuyaelekea mahusiano/ndoa japo mara nyingi ndoto hizi huwa hazi-exist katika uhalisia.
1. VIJANA WA KIKE.
Vijana wengi wa kike wana...
Mambo vipi wanaume wenzangu?
Kuna kautafiti nimekafanya nimegundua,wanaume wengi tunapenda kuwa na wanawake walimu,ila mambo yako tofauti kwa wanawake wengi hasa warembo hawataki kuwa na...
Well, usijiulize kwamba nmejipanga vip..niko vzur mpaka nmeamua hivi
Maeneo nayolenga kuwasaka
1. Washiriki wa mashindano ya umiss..yaani nita-attend mashindano yeyote yatakayo husu hiz...
Habari wakuu.
Najua mpo ambao kuanzia asubuhi simu na msg zenu hazijibiwi na wapenzi wenu yani hawataki mazoea kabisa.
Tukutane hapa kujifariji.
Au niko mwenyewe?
Nilikua na mwanamke wa ajabu sana
Ni demu wangu akija geto kwangu kufanya mambo yetu anakaa hata siku 3 tunakula tunakunywa na bata kama lote halaf akitoka hapo anataka umlipe[emoji1787]
Kuna...
Heri ya mwaka wa 2021
Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama...
Happy new year [emoji95]
Hope mko poa, tuanze mwaka na simulizi izi mbili za wake wenza.
Ya kwanza ni ya kijana mmoja natamuita dany, dany alioa kwa bahati nzuri au mbaya mkewe hakubahatka kuzaa...
Kuna harusi tano ziko kwenye pipeline, zote nahusika kwa namna moja au nyingine, ila nimeshangaa kusikia 3 kati ya hizo, wadada wamejilipia mahari na wanagharamia shughuli nzima ya harusi.
Hivi...
Nina rafiki yang ambae nilisoma nae advance tukawa tumepangiwa room moja so alikua roomate wangu hatukua bestfriends but tulikua friends hata umbea tukapiga wote.
Yeye alikua ana date na mkaka...
Wakuu habari za muda huh...
Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya...
Naomba sana Mungu atupe neema ili katika mwaka huu mpya zisiwe mpya namba za tarehe, yaani Januari Mosi, 2021.
Bali tufanywe wapya, tuvae utu mpya ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika roho zetu na...
Desemba 23, siku mbili kabla ya Sikukuu ya Krismasi, wanaume jijini hapa walialikwa katika sherehe ya kuburudika na wanawake wawatakao lakini Jeshi la Polisi limeifuta sherehe hiyo na kuwatia...
Nimeenda somewhere kumtembelea ndugu yangu nimegundua wao ndio hutengeneza wanawake wa baadae wabovu pasua kichwa na wa kututesa baadae
Yaani watoto wanalelewa ovyo ovyo ovyo sana
Mtoto hajui...
Ktk nyanja zote za maisha ili masikini afanikiwe ni lazima ahonge iwe police, kazi, mapenzi, mahakamani nk.
Masikini ninayemwongelea hapa ni wa kipato kisichozidi million moja kwa mwezi na si...
- Mwanamke alokuzidi kipato USIOE huyu matumizi yake ni makubwa kutokana na kipato chake usipomtimizia matumizi yake kwa kumpa hela kiasi kidogo atakudharau tu
- Mwanamke alokuzidi elimu USIOE...
Kuna siku nilikuwa nafanya mtihani wa kumaliza muhula , enzi za kidato cha tano ,niko kwenye pepa nafanya mtihani kuna maswali nikayasoma lakini nilishindwa kujibu kutoka na kusahau majibu kitu...