Nimeamua kumuacha tu mwizi, haeleweki kiukweli

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Nilikua na mwanamke wa ajabu sana

Ni demu wangu akija geto kwangu kufanya mambo yetu anakaa hata siku 3 tunakula tunakunywa na bata kama lote halaf akitoka hapo anataka umlipe

Kuna wanawake wa ajabu dunia hii, nlikua nadate na kiazi aisee siku una pesa haelewi ukiwa na nacho na usipokua nacho muda wote anaona unambania tu pesa

Mwanamke gani haelewag mtu akiwa na shida au wakat mgumu?Lakini ukiwa nacho unampa na unamtumia

Unauguliwa au upo kwa kipindi kigumu hajui hata kufariji au hata ukiwa unaumwa hata msg ya unaendeleaje hatumi zaidi ataongea tu shida zake umtamtulie

Siku hiyo kaja geto kakuta nina week ngumu kinyama manzi hata haelewi nilimpa elfu 5 maana hiyo week nilikua nimefulia vibaya mnoo yaani nilibakiwa na elfu 15 tu nikampa 5000 nikamuelewesha, nimetoka tu nimeenda nje akaiba ile 10000 nakuja nasaka wapi sikumuuliza chochote kile nikakausha

Nimekaa kama 3 weeks tu nikimtext na kumpigia cm hata vocha namtumia leo nikamwambia aje eti ananiuliza "pesa ipo?"

Hapo nikabaki nimeduwaa nikamuuliza kwani we upo kwangu kimapenz au upo kimaslah au unajiuza kwangu?eti likamaind

Siwezi kufuga ujinga mimi nimepiga chini sitaki mazoea naye kuanzia leo!

Wanawake wengine siyo kabisa najuta nguvu zangu na nilivyokupambania hizo hela nilizokua nakupa kila week bora ningemtumia tu mamangu mzazi ipo siku utanikumbuka!

Niwekeze nguvu zangu kwenye kutafuta pesa tu sasahv na kujiwekeza mm km mimi nyambafu
 
POLE SANA MKUU KWA KUTOFANYA CHAGUO SAHIHI.ILA CHA MUHIMU HUJACHELEWA FANYA MAAMUZI SAHIHI MAPEMA,HAKUFAI HUYO

Afu kingine cha ziada unamtindua vzr kweli???Maana kwa tafiti zisizo rasmi mwanamke ukimtindua vema hakuombi pesa hovyo
 
Cku hiyo ilikuwa j pili manzi amekuja home , baada ya mazunguumzo maleeeeefu nikamwambia hitaji langu ,akasema lete kiasi Fulani, nilikuwa nayo hiyo hiyo, nikampa bila kuhoji , anataka kuondoka mm nikaenda choooni kurudi nikasindika nikamuuliza ina maaana ile pesa umeichukua , akajibu Hapana nimeacha mule ndani,

Niliporudi nimeikuta ameweka pesa yote hakuchukua hata mia ,ameweka chini ya cm ,

Mm wangu huwa muelewa sanaaaa
 
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app

Sijakuelewa Mkuu!
 
Kweli man

Kuhusu kumtindua hata sijisifii hichi ni kama kipaji kwangu kila mwanamke niliyewahi kuwa naye alikua ana appreciate uwezo wangu including huyu kiazi niliyempiga chini
 
Mkuu huyo anafaa kabisa sio hili bomu langu
Cku hiyo ilikuwa j pili manzi amekuja home , baada ya mazunguumzo maleeeeefu nikamwambia hitaji langu ,akasema lete kiasi Fulani, nilikuwa nayo hiyo hiyo, nikampa bila kuhoji , anataka kuondoka mm nikaenda choooni kurudi nikasindika nikamuuliza ina maaana ile pesa umeichukua , akajibu Hapana nimeacha mule ndani,

Niliporudi nimeikuta ameweka pesa yote hakuchukua hata mia ,ameweka chini ya cm ,

Mm wangu huwa muelewa sanaaaa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Nilikua na mwanamke wa ajabu sana

Ni demu wangu akija geto kwangu kufanya mambo yetu anakaa hata siku 3 tunakula tunakunywa na bata kama lote halaf akitoka hapo anataka umlipe

Kuna wanawake wa ajabu dunia hii, nlikua nadate na kiazi aisee siku una pesa haelewi ukiwa na nacho na usipokua nacho muda wote anaona unambania tu pesa

Mwanamke gani haelewag mtu akiwa na shida au wakat mgumu?Lakini ukiwa nacho unampa na unamtumia

Unauguliwa au upo kwa kipindi kigumu hajui hata kufariji au hata ukiwa unaumwa hata msg ya unaendeleaje hatumi zaidi ataongea tu shida zake umtamtulie

Siku hiyo kaja geto kakuta nina week ngumu kinyama manzi hata haelewi nilimpa elfu 5 maana hiyo week nilikua nimefulia vibaya mnoo yaani nilibakiwa na elfu 15 tu nikampa 5000 nikamuelewesha, nimetoka tu nimeenda nje akaiba ile 10000 nakuja nasaka wapi sikumuuliza chochote kile nikakausha

Nimekaa kama 3 weeks tu nikimtext na kumpigia cm hata vocha namtumia leo nikamwambia aje eti ananiuliza "pesa ipo?"

Hapo nikabaki nimeduwaa nikamuuliza kwani we upo kwangu kimapenz au upo kimaslah au unajiuza kwangu?eti likamaind

Siwezi kufuga ujinga mimi nimepiga chini sitaki mazoea naye kuanzia leo!

Wanawake wengine siyo kabisa najuta nguvu zangu na nilivyokupambania hizo hela nilizokua nakupa kila week bora ningemtumia tu mamangu mzazi ipo siku utanikumbuka!

Niwekeze nguvu zangu kwenye kutafuta pesa tu sasahv na kujiwekeza mm km mimi nyambafu
Wewe labda hukuelewa vizuri mapatano yenu, huenda mwenyewe alikuwa anakuuzia wewe unamchukulia demu wako. Wajua muda mwingine tunajipa gharama za bure, badala ya kutaka kumiliki we tangaza dau tu, kila mkikutana unampa chake anasepa. sasa wewe mkutane ela umpe, nguo ununue, vocha utume, matatizo yake usikilize si kutiana hasara huko.

Aisee toka nimekuwa single nimegundua nilikuwa napoteza pesa nyingi sana kwa kuhudumia watu eti kwa jina la mpenzi. Yani nilikuwa napoteza pesa nyingi sana aisee. Mara simu, mara vocha, mara pesa ya matumizi mara sijui nguo, mara ujitume hata kabla ya kutumwa ununue zawadi wakati hata sijaombwa.

Aisee mapenzi utumwa, unajituma kabla ya kutumwa. Life is good if you know what you want....
 
Back
Top Bottom