Heri ya mwaka mpya (2021) wakuu wote jamvini.

mwarabu wa dubai

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
320
500
Moja kwa moja naomba niende kwenye mada wakuu (me/ke).Leo nimeona kidogo niweke wazi suala la single mother's katika relation ship hasa kwa wale wanaotaka kuoa but excuse me I stand to be collected and not insulted. Direct let us move to the point (s) hereinbelow:-

1/ Single mother's hawatakiwi kuolewa na mwanaume yeyote yule kwa sababu ataenda kuchanganya damu za watoto mfano alizalishwa na mwanaume mchawi so anakuletea damu ya kichawi katika familia yako.

2/Single mother's hawana mapenzi ya kweli coz walipotoka wameumizwa so fanya eat and run kama atajipendekeza kwako.

3/Single mother's wengi walizaa kwa bahati mbaya na huwa wanajutia sana hii situation so wengi ni parasites for 100%.

4/Single mother's hawana mapenzi ya kweli wengi ni waongo waongo sana na wanacholenga wao ni maslahi ya matoto yao binafsi.

5/Single mother's kwenye baadhi ya familia huwa hawakubaliki for any more,this means that kuwa single mother ni mkosi mkubwa sana hasa katika jamii nayotokea mimi.

5/Single mother's wengi ni watu wa kujutia kwanini walizaa na fulani,kwanini alikatisha masomo kwa ajili ya fulani so wengi wana msongo wa mawazo hasa katika majukumu ya kulea mtoto.

6/Single mother's wengi ni wadhaifu sana huna haja ya kutongoza we lipende tu toto lake ........hahaha hapo atakupa kila kitu.

MY TAKE:-KIJANA MWENZANGU USIJE UKADHUBUTU KUOA SINGLE MOTHER UTAKUJA KUJUTA NA KUSAGA MENO!!MWANAMKE WA KUOA NI YULE AMBAYE HAJAZAA AU IKIBIDI OA BIKRA KABISA ILA SIO SINGLE MOTHER'S.

I STAND TO BE COLLECTED AND NOT INSULTED.
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
17,184
2,000
Singo maza...


1-Mwanamke anayelea mtoto pekeake na wala hana Me wakumkaza.

2-Mwanamke anayelea mtoto wake lkn pia ana jamaa au majaamaa wanaomkaza akiwemo mzazi mwenzake.


Jana, nipo kwa Bus nasafiri, nmekaa na jidada moja Mtu wa arusha


Kupiga piga stori, ananiambia... Alizaa na mtu, na huyo mtu ndio amemuomba ampelekee mtoto akamsalimie

Nakwamba atakaa huko mpaka tarehe 6


Kwaiyo atakuja kunitembelea kwangu kuanzia tarehe 9.


..

Kwahiyo hawa watu huwa hawaachani na wazazi wenzao ,hata umjali vipi yeye na mwanae...

Singo maza, kwa mzazi mwenzake ni sawa na Maji ya kunywa wakati aa Kiu kikali.
 

April26

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
652
1,000
Ndio wanaume tusiwape mimba na kuwakimbia wanawake zetu, tunawasababishia magumu sana na sifa mbaya kama zilizotajwa kwenye bandiko. Wale ke wa kutega wapate mimba ili waolewe nao waache huo umbanga.
The best comments kwenye huu uzi. Sidhani kama kuna nyingine itakuja.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom