Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Nina rafiki yang ambae nilisoma nae advance tukawa tumepangiwa room moja so alikua roomate wangu hatukua bestfriends but tulikua friends hata umbea tukapiga wote.
Yeye alikua ana date na mkaka mmoja hivi lakini yeye rafiki yangu alikua hana hisia za mapenzi na huyo mkaka
After advance wakaachana kila mtu alienda chuo chake na kila mtu alikua na maisha yake. Mimi shemeji sikuwa na mazoea nae hata sijawahi kuongea nae tulivyokua shule.
Lakini mwaka jana alikua ananitafuta instagram tukawa tunachat tu kawaida, siku nyingine sijibu sms siku nyingine najibu. Mimi nilikuwa mkoani na yeye pia alikua Dar ila kwa sasa nimerudi tena Dar, nitakuwepo kuwepo kwa kipindi kirefu kidogo.
Juzi juzi amekiri kwamba ana nia ya kunioa hivyo anataka kuja kutoa posa na akasema kuwa yeye alikua anataka mwislam mwenzie hakua anataka kuoa mkristo.( rafiki yangu alikua mkristo)
Huyo rafiki yangu tumepoteza mawasiliano baada ya yeye kwenda diploma na mimi nikaenda degree hivyo basi tuna muda mrefu hatujawasiliana.
Kwa maana hiyo akija kujua kama yule jamaa yake ana nia ya kunioa ataichukuliaje yeye kama yeye?
Je nitaonekana nimemuibia bwana?
Nipeni ushauri wale magwiji wa mapenzi. Je nikubali au nimpotezee?