Ushauri wenu: Natafuta mchumba mwaka huu wa kuoa mwakani

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Well, usijiulize kwamba nmejipanga vip..niko vzur mpaka nmeamua hivi

Maeneo nayolenga kuwasaka

1. Washiriki wa mashindano ya umiss..yaani nita-attend mashindano yeyote yatakayo husu hiz mambo..najua kuna watoto wakal sana huku ambao wako tayar

2. Bongo muvis..wadada wa bongo muvi..achana na wale wenye majina
Makubwa...aisee bongo muvi kuna watoto wakal sana.na wametulia..ukitaka amin angalia ile chanel yao ya magic bongo

3. Makanisani..especialy makanisa yakilokole yale ya kishua..huku naamin nikivaa ngozi ta kondoo siwez kosa

4. Watoto wa vyuon..ntawapataje ..sijui ila ntakua nacheza sana maeneo yao

5.mabank teller..niko tayar kufungua hadi account kwenyr bank ambayo ina mttoo mkali..na niwe na deposit kwake tu mapesa had tuzoeane

6. Kwenye ma event...ntakua naatend sana ma event ...huku watoto wakal ni weng...sijal yan..iwe kidimbwi iwe diamond

Najua watoto wakal ni weng

..7.na mwisho nampango wa ku finalize kwa kutembelea mikoa vijijin huko ambako siwez kosa watoto wakal...singida huko.uchagani..Wairaq..niko radhi kuhamia huko hata mwez mzima siwez kosa mtoyo mzur aje ale maisha mjin hapa

Nawasilisha
Uzi tayar

(Na hii ndo mi5 tena..naanza na nguv mpya)....sitak tafuta ilimrad dem.nataka nimpende yan...kama papuch had nmezikinai sasa..wala siko into sex)
 
Kina dada mjifunze hapa huyu jamaa nyuzi zake zilikuwa n za matukio tuuu

Ila mstari wa mwsho anasema amekinai hayo matukio na sasa ana angalia stability na amani ya moyo

KILA LA KHERI chief Napoleone
 
Kina dada mjifunze hapa huyu jamaa nyuzi zake zilikuwa n za matukio tuuu

Ila mstari wa mwsho anasema amekinai hayo matukio na sasa ana angalia stability na amani ya moyo

KILA LA KHERI chief Napoleone
Eeh bwana.umri umeenda nahitaj kutulia sasa...sion umuhimu wa kuwa na wanawake kila kukicha. Nmezichoka..natafta familia.watoto..na utulivo wa moyo
 
Back
Top Bottom