Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WAKUU NIMEWAHI KUSKIA MARA KADHAA KUWA MWANAMKE/MWANAUME AKIPIGA KILAJI (POMBE) HUWA ANAPATA ASHKI YA NGONO, JE HII INA UKWELI WOWOTE? KAMA INA UKWELI, JE NI NINI KINATOKEA AS A REACTION IN A BODY...
1 Reactions
25 Replies
15K Views
ilikuw mwaka mpya (juzi)majira ya 22:56+ nikiwa bar na pisi moja ivi sio Kali mbaya mbaya tu(niliona nibadiliahe taste). mi nlikuw nakunywa zile ngum, ye akawa anatumia Serengeti plus balimi huku...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, hope mko salama na mmemaliza mwaka salama.. Husika na mada hapo juu, leo nataka tupige story kuhusiana na maswala ya simu wakati wa faragha.. Kama mjuavyo mapenzi ni hisia, na...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Wanawake msikubali kuolewa na wanaume ambao bado wanaishi kwa wazazi wao. i. Unatakiwa kuelewa na kufahamu kwamba uchumba ni nakala nyepesi ya ndoa. Ni hivi uchumba wenu ni kioo cha jinsi...
9 Reactions
49 Replies
6K Views
Msaada wa mawazo, twaishi mke mimi na mtoto. Mke wangu anamimba ya miezi saba na nusu anahitaji nimuwekee msaidizi na pia kwao na kwetu nijirani tu tunaishi mji mmoja. Kipi bora nifanye? Nimletee...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Sisi wanaume πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” tunahitaji kuonewa huruma na pia kuombewa sana. Imagine natoka nyumbani kwa mama chausiku. Naenda zangu kilingeni kupiga kazi. Huko napata 5000 kwa mbinde sana. Baada ya kubeba...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Nashukuru wana JF walionipa mwongozo kuhusu gharama za kugharamia ujauzito vitu vya muhimu kufahamu. Sasa leo hii ningependa kufahamu gharama halisi za mama mjamzito akijifungua kumuhudumia yeye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu. Hasa...
20 Reactions
126 Replies
13K Views
Naomba kujuzwa jamani kabla sijaingia mtegoni. Mchumba kaniambia kitu gani ambacho yeye anacho mie sina ambacho kitamfanya anipikie na kunifulia kila siku? Nahisi kama ndoa yangu haitomaliza...
3 Reactions
111 Replies
11K Views
WanaJF ninaleta kwenu iwe faida kwangu na kwa wadau wengine. Wengi wetu tuna ndoa haijalishi mama ni mfanyakazi au lah ila majukumu ya familia yanamuhusu baba, kikubwa kilichozoeleka baba ndio...
9 Reactions
113 Replies
25K Views
Mkeo amesafiri ameenda kula Sikukuu nyumbani. Anakutumia UJUMBE Kama huu. Jana nilishindwa kukuwish heri ya mwaka mpya nilikua nangoja foleni iishe. Heri ya mwaka mpya mume wangu kipenzi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Niwasalim wanajamvi Mkasa uliotokea: Mdogo wangu kuna dada ambaye ameshamtolea barua na mahari ilikua imeshapangwa tarehe 20 ya mwezi wa kwanza ilikua tupeleke mahari ili tarehe ya ndoa ipangwe...
22 Reactions
90 Replies
8K Views
Sifa zangu-nina mtoto 1,mrefu sana nakaribia ft 6,mweusi,mfanyabiashara mdogo,miaka yangu 40, mkristo,elimu chuo. Sifa za mke Awe mkristo,rangi ya asili,miaka 30-40,elimu kuanzia kidato cha...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Kuna jamaa alimpropose mwanamke fulan miaka ya 2009 ili amuoe, na jamaa alikua anampenda sana ila mwanamkee na familia yake walimkataaa jamaa. Jamaa akaamua kuoa mwanamke mwingine, ila alikua...
6 Reactions
15 Replies
5K Views
Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno, tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu, siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake...
33 Reactions
74 Replies
9K Views
Ndugu, Naombeni mnitajie mienendo au tabia za mwanaume anaeonesha nia ya kuoa
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Unajua in life unaweza kuwa na uhusiano na mtu sio kwamba unampenda bali ni genye tuu..(kwa sisi wanaume sanasana) Sasa kuna kipind flan kwenye maisha yangu baada ya kuachwa na mwanamke flani...
5 Reactions
46 Replies
7K Views
Nataka tu kujua nani amewahi ku-experience na ilikuwaje
6 Reactions
123 Replies
11K Views
Habari za mchana, Ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa nikijiuliza sana kuhusiana na swala hili la kuoa mtu wa kabila tofauti, Na nimeshindwa kufikia muafaka, nawasilisha kwenu nanyi mnisaidie...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habarini za mwaka mpya. Kuna rafiki yangu alikuwa anatembea na binti mmoja toka 2017,alifikia mpka hatua ya kutambulishana ili badae waone hapo badae. Jamaa angu badae alikuja kuachana nae...
23 Reactions
66 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…