Usiwekeze kwa mwanamke aliyekukataa

Usiwekeze kwa mwanamke aliyekukataa

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,620
Reaction score
10,261
Kuna jamaa alimpropose mwanamke fulan miaka ya 2009 ili amuoe, na jamaa alikua anampenda sana ila mwanamkee na familia yake walimkataaa jamaa.

Jamaa akaamua kuoa mwanamke mwingine, ila alikua anaendelea kuwasiliana na yule mwanamke aliyemkataa. Mwanamke yule akazalishwa akatelekezwa. Jamaa kwa kumuonea huruma akaamua kuwekeza Kwa mwanamke akiamini mwanamke anaweza mpenda au kumpa second chance, ila mwanamke hampendi jamaa kabisa, yuko naye Kwa sababu tu jamaa bado anamsponsor Kwa mahitaji ya hapa na pale.

Kitu kingine nachokiona Kwa jamaa ni kumfuatalia mwanamke, Kwa sababu tu amempa tu mtaji na mwanamke hiko akipendi, na huyo mwanamke bado Yuko single

Kitu ambacho nakiona Kwa jamaa anampenda mwanamke na kawekeza, na mwanamke yuko bize na wanaume wengine. Na kitu ambacho nakiona Kwa jamaa anaweza kuja ua mtu au ataumia sana kwa kujitakia hasa pale mwanamke atakapoolewa na mtu mwingine sababu jamaa ana mke tayar na mwanamke hampendi.

Nikajifunza mwanamke akikukataa usitumue kigezo cha kutaka kuwekeza kwake ukidhani labda atakukubalia ombi lako, hilo ni kosa wanalifanya wanaume wengi, wekeza Kwa mwanamke anayekupenda asiyekupenda mpotezee
 
Sema kuna watu wana roho ngumu..

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Yani mwanaume ni mtu wa ajabu sana. Anaweza chokonoa mashimo mengi lakini akawa analipenda moja tuuu bila sababu za msingi

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Kuna mwanamke nilikuwa nampenda sana nikawekeza nguvu zangu nyingi tuu siku niliokuja kupewa mzigo roho yangu iliniuma sana vyote nilivyowekeza

Yaani k ilikuwa inanuka hatarii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwanamke nilikuwa nampenda sana nikawekeza nguvu zangu nyingi tuu siku niliokuja kupewa mzigo roho yangu iliniuma sana vyote nilivyowekeza

Yaani k ilikuwa inanuka hatarii
 
Kuna jamaa alimpropose mwanamke fulan miaka ya 2009 ili amuoe, na jamaa alikua anampenda sana ila mwanamkee na familia yake walimkataaa jamaa.

Jamaa akaamua kuoa mwanamke mwingine, ila alikua anaendelea kuwasiliana na yule mwanamke aliyemkataa. Mwanamke yule akazalishwa akatelekezwa. Jamaa kwa kumuonea huruma akaamua kuwekeza Kwa mwanamke akiamini mwanamke anaweza mpenda au kumpa second chance, ila mwanamke hampendi jamaa kabisa, yuko naye Kwa sababu tu jamaa bado anamsponsor Kwa mahitaji ya hapa na pale.

Kitu kingine nachokiona Kwa jamaa ni kumfuatalia mwanamke, Kwa sababu tu amempa tu mtaji na mwanamke hiko akipendi, na huyo mwanamke bado Yuko single

Kitu ambacho nakiona Kwa jamaa anampenda mwanamke na kawekeza, na mwanamke yuko bize na wanaume wengine. Na kitu ambacho nakiona Kwa jamaa anaweza kuja ua mtu au ataumia sana kwa kujitakia hasa pale mwanamke atakapoolewa na mtu mwingine sababu jamaa ana mke tayar na mwanamke hampendi.

Nikajifunza mwanamke akikukataa usitumue kigezo cha kutaka kuwekeza kwake ukidhani labda atakukubalia ombi lako, hilo ni kosa wanalifanya wanaume wengi, wekeza Kwa mwanamke anayekupenda asiyekupenda mpotezee
tenda wema uende zako
 
Back
Top Bottom