Leo ndio natoka hospitali kisa pombe

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,023
3,458
ilikuw mwaka mpya (juzi)majira ya 22:56+ nikiwa bar na pisi moja ivi sio Kali mbaya mbaya tu(niliona nibadiliahe taste).

mi nlikuw nakunywa zile ngum, ye akawa anatumia Serengeti plus balimi huku tunaendelea kuukaribisha mwaka.

nilianza na k vant kubwa,nikachanganya na konyagi kubwa zote nikaua,nikachukua bombadia mbili nikafuta,nikamalizia na konyagi ndogo mbili.

KIZA AZAA.ghafla yule demu sikumuona,tungi ndo imekolea sasa kichwan,nikaanza kucheka cheka Kama lofa,kuna wahun kwa pemben niliwaskia wakisema "oya huyu jamaa kalewa chakal leten mafuta tumpapase" kusikia ivo nilitoka nduki nakimbia.

GETHO
nafika huku nayumba hatari nikafungua mlango nikashindwa kupanda kitandn ,nikapiga magoti mikono nikailaza kitandan dizain ya mschana anayemuomba mungu apate mme mwema,(manaake mikono ndo ililala kitandan )

MATATIZO

1:nilipelekwa hospital bila kujua
2:nmepewa kesi et nilitaka kumbaka mke wa mwenye nyumba nimewabishia wamedai kuna dogo alirecord tukio na simu ndo wanamsubilia
3:kuna barua imeletwa kutoka kazin et huo usiku nilimtumia boss wangu sms et "hey boss come and kiss my ass"

NIMEAPA HIZI KESI MBILI ZIKIISHA NTAKUW NAENDA BAR NANUNUA BIA (BALIMI) NAKUNYWA NUSU ,NUSU NYINGINE NAMALIZIA GETHO NAJIFUNGIA KABSA
 
Wangekupasulia na yai akili ndo ingekaa sawa. Huku mtaani kwetu ukizima watu wanachomeka penseli.
 
uswiss inaonekana una experience ya kuchomekewa,mim sihitaj,Asante kwa taarifa mkuu
 
MtoA mada mbona kama una vi DNA vya upande wa pili maana mara kupakwa mafuta,mara sijui kiss ass mmh tuweke wazi ndugu
 
ilikuw mwaka mpya (juzi)majira ya 22:56+ nikiwa bar na pisi moja ivi sio Kali mbaya mbaya tu(niliona nibadiliahe taste).

mi nlikuw nakunywa zile ngum, ye akawa anatumia Serengeti plus balimi huku tunaendelea kuukaribisha mwaka.

nilianza na k vant kubwa,nikachanganya na konyagi kubwa zote nikaua,nikachukua bombadia mbili nikafuta,nikamalizia na konyagi ndogo mbili.

KIZA AZAA.ghafla yule demu sikumuona,tungi ndo imekolea sasa kichwan,nikaanza kucheka cheka Kama lofa,kuna wahun kwa pemben niliwaskia wakisema "oya huyu jamaa kalewa chakal leten mafuta tumpapase" kusikia ivo nilitoka nduki nakimbia.

GETHO
nafika huku nayumba hatari nikafungua mlango nikashindwa kupanda kitandn ,nikapiga magoti mikono nikailaza kitandan dizain ya mschana anayemuomba mungu apate mme mwema,(manaake mikono ndo ililala kitandan )

MATATIZO

1:nilipelekwa hospital bila kujua
2:nmepewa kesi et nilitaka kumbaka mke wa mwenye nyumba nimewabishia wamedai kuna dogo alirecord tukio na simu ndo wanamsubilia
3:kuna barua imeletwa kutoka kazin et huo usiku nilimtumia boss wangu sms et "hey boss come and kiss my ass"

NIMEAPA HIZI KESI MBILI ZIKIISHA NTAKUW NAENDA BAR NANUNUA BIA (BALIMI) NAKUNYWA NUSU ,NUSU NYINGINE NAMALIZIA GETHO NAJIFUNGIA KABSA

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nilifikiri umeamua kuacha kabisa kumbe utaenda kununua na kunywa ndani
 
2640965_Screenshot_20200428-2245132.jpg
 
Back
Top Bottom