Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,514
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nilipoona anazidi sana kutaka ukaribu. Mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana, si mwaminifu

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha. Sasa ameomba kabisa game na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali, wamepanga kila kitu na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine nitakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo, nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

Sitaki polisi wala nini, naombeni msaada wenu. Adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki muua, nataka aishi akijutia jambo hilo milele. Nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana? Basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu, sitaki maneno ya sijui polisi, sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
 
Umejiandaa kisaikolojia mkuu?
Jamaa akifaniisha itakuwaje? Au unadhani jamaa yako naye ni mjinga kiasi unacho kifikiria?

Usiwaze wala kudhania mtu unayeishi naye na unafamilia naye, ni hatari sana kwa afya ya moyo na akili!
 
Marafiki sijawahi kuwaamini katika maisha yangu Be carefully best,, Ngoja tusubiri majibu ya wahenga, wao walitumia mbinu gani.
 
Je wote wamtongozao mkeo huwa anakuweka wazi? Kama hapana basi yote unayokusudia kufanya unajidanganya, kuliko kushughulika na huyo bwana ni bora umsihi na kumuombea mkeo aendelee na msimamo huo, unaweza mkomoa huyo bwana kumbe kuna wajuba wengine wanakuchapia.
 
Una makosa sana, hivi unampaje rafiki namba ya mkeo, na ni mazoea gani aliyo nayo na mkeo mpaka aanze kumtongoza, mwanaume tena rafiki yako hawezi tu kuanza kumtongoza mkeo from no wherw kama hajapewa mwanya huo, lazima kuna mahala wife wako ameonyesha udhaifu ndio maana jamaa amepata hiyo courage

Anyway, huo mchezo unaotaka kuufanya unaweza gharimu maisha yako yote, mpige marufuku mkeo kuwasiliana na huyo jamaa fulstop, na wewe mwonye jamaa akae mbali na mkeo

Mwenye makali ni mkeo, maana kama yeye bado yupo interested kuwasiliana na jamaa basi imekula kwako

Ila sikushauri kufanya hilo ulilopanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom