Uhusiano kati ya pombe na nyege

Uhusiano kati ya pombe na nyege

GYNEOCOLOGIST

Senior Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
171
Reaction score
112
WAKUU NIMEWAHI KUSKIA MARA KADHAA KUWA MWANAMKE/MWANAUME AKIPIGA KILAJI (POMBE) HUWA ANAPATA ASHKI YA NGONO, JE HII INA UKWELI WOWOTE? KAMA INA UKWELI, JE NI NINI KINATOKEA AS A REACTION IN A BODY AMBACHO KINASABABISHA HALI HIYO?
 
Hakuna cha reaction ni kujiendekeza kwa watu hasa wasiojiamini na kutafuta ashki za pombe, nyege haziamshwi na pombe papaa.
 
ukinywa pombe mzigo hautembei barabara..kama alvyosema joanah akili huwa znahama na tabia halisi ya mtu ndo inajidhirisha kama ana tabia ya totoz atafanya...kama mzee wa matusi atafanya...n.k
 
Wewe unajua matumizi ya herufi JINGA wewe?
 
No sio kweli... inategemea na nini kilichotawala mawazo yako by then.. na wakati wa kula lager. Kama ngono imetawala.. utajisikia minyege.. kama stress au visasi vilitawala.. pombe itakupeleka huko huko...
 
WAKUU NIMEWAHI KUSKIA MARA KADHAA KUWA MWANAMKE/MWANAUME AKIPIGA KILAJI (POMBE) HUWA ANAPATA ASHKI YA NGONO, JE HII INA UKWELI WOWOTE? KAMA INA UKWELI, JE NI NINI KINATOKEA AS A REACTION IN A BODY AMBACHO KINASABABISHA HALI HIYO?
Ni kwel nimeona ilo nikiwa normal na nikipata ulabu utofauti upo kidogo [emoji1]
 
WAKUU NIMEWAHI KUSKIA MARA KADHAA KUWA MWANAMKE/MWANAUME AKIPIGA KILAJI (POMBE) HUWA ANAPATA ASHKI YA NGONO, JE HII INA UKWELI WOWOTE? KAMA INA UKWELI, JE NI NINI KINATOKEA AS A REACTION IN A BODY AMBACHO KINASABABISHA HALI HIYO?
Unajua kwanini wachangudoa wanapenda kukaa baa na sio migahawani?????
 
kwa uzoefu wangu nikinywa pombe nawaona wanawake wote wanavutia sana.. wana maumbo mazuri mazuri! unakuwa unajiamini ukitongoza unakubaliwa.. shida ya utongozaji wa pombe hauna njonjo ni moja kwa moja kwenye point hakuna kuzunguka.
 
WAKUU NIMEWAHI KUSKIA MARA KADHAA KUWA MWANAMKE/MWANAUME AKIPIGA KILAJI (POMBE) HUWA ANAPATA ASHKI YA NGONO, JE HII INA UKWELI WOWOTE? KAMA INA UKWELI, JE NI NINI KINATOKEA AS A REACTION IN A BODY AMBACHO KINASABABISHA HALI HIYO?
Inategemea ntu na ntu, mimi nikishalewa tu, nawaza kitanda kiko wapi nikalale yani nachowaza ni kupiga usingizi kabambe
 
Back
Top Bottom