Heri ya mwaka mpya wakuu!
Nina mchepuko wangu, kila akiona nywele zangu za huku state house zimekuwa kubwa,basi lazima achukue kifaa ananinyoa.binafsi huwa naona aibu sana kunyolewa mavuzi, so...
Hello JF.
Last weekend nilikuwa na wife tunapiga story mbili tatu,nikamtania mbona siwajui marafiki zako?akanijibu "akuu unataka nikutambulishe kwao ili wakuibe"?
Ofcoz wife ana marafiki visu...
Habari ndugu mwana JamiiForums,
Leo nimeona nikuletee jambo hili kuna baadhi ya watu wanashindwa kuelewana katika mahusiano au mapenzi au ndoa sababu hawana pesa hususani wanawake wengi wa sasa...
Habari za asubuhi wana jamii forums
Kijana wenu niko hapa nahitaji ushauri wenu na experience yenu katika hili linisumbualo akili kwa sasa
Kwa kifupi ni kua mimi ni aina ile ya watu ambao...
Ndugu zangu wana JF huu ni mwaka wa pekee katika historia ya maisha yangu ni mwaka ambao natarajia kuaga rasmi katika chama kikuu cha useja na kupewa usajili wa kudumu katika chama cha wanandoa...
Huyu shost alipata scholarship kufanya Masters huko nchi za mbali. Huko alipata danga la ki Irish. Mume alijitahidi kwa ticket yake mwenyewe alimtembelea mkewe mara moja. Mke aliuweka mchepuko...
Habarini za jioni,
Moja kwa moja kwenye mada nisiwachoshe.
Niliwahi sikia kwamba wanaume wanapenda vipande-vipande kwa mwanamke, akimpendea wowow huyu, yule atapendewa chuchu saa 6, mwingine...
Hapo vipi
Ukitumia akili ya kawaida na utafiti partial na jinsi unavyoingiza mshedede kwenye hiyo kitu chake hauweza kukubaliana na mimi juu ya hili ila ukweli na fact mwanamke ndio kiumbe namba...
Hasa wale wenye mafunzo ya kale.
Kosa lenyewe.
Wanaume wengi,
Ni wakati wa kufanya tendo la ndoa(mapenzi).
Wengi wao wamekua wakiwafanya wake zao kwa viwango vya chini Sana kwa maana eti...
Habari ya wakati huu wakuu, kama kichwa cha habari kilivyo, ukikuta mkeo kavaa pete ya kwako uliyomvisha wakati wa ndoa na ameongeza nyingine katika kidole hicho hicho jua mko wawili rasmi. Amua...
Wakuu habarini za asubuhi,
Leo ikiwa ni siku ya saba tangu nianze nilikizo nimejikuta kumisi sana mwanamke maalum wa kumbembeleza na kumjali, kutania na kufurahi pamoja, wakua nae katika hali...
Natafuta msichana tukielewana na kuridhiana tunaoana, umri kuanzia miaka 22 - 30 dini mkristo mkatoliki ambaye hajazaa ila asiwe mhaya, elimu yoyote kama kaajiriwa au kajiajiri mwenyewe poa. Kama...
Mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa kwenye mahusiano hot ya kimapenzi yenye ndoto za kuja kuishi pamoja na huyu mwanadada
Mimi nikiwa mwajiriwa wa serikali yeye akiwa kwenye taasisi za ukopeshaji...
Mahusiano Ni kitu kizuri
Mapenzi Ni kitu kizuri na
Urafiki ni kitu kizuri.
Sio mbaya kwa kijana kujipatia mahusiano,mpenzi au rafiki hapa JF au mitandao mingine kama JF isiyo ya kujiuza. Kwa...
Baada ya kukaa mwaka mzima kutibu majeraha yangu ya kuachwa na mchumba nliyekuwa nimemvisha pete ya uchumba.
Nimeibukia kwa binti mmoja mwenye tabia njema sana, si mzuri kwa sura , ni wa kawaida...
Kuna tofauti kubwa Sana kati ya kuwa na akili nakuwa msomi katika Zama hizi kumekuwa na ongezeko kubwa la wanawake wasomi kwa kiasi kubwa na ni janga kubwa kwa generations ya sasa haswa kwenye...
Wakuu, yamenifika hapa!
Huyu ni mtoto aliyezaliwa takribani MIEZI 7 baada ya kumla kimasihara huyu MANZI, lakini 'sio' NJITI. Taarifa za mimba nilipewa kwa wakati, nikazipokea japo KIUTANI ila...
Wakuu sijui ni malezi au lah ila katika malezi yangu mimi nilikuwa naishi na mama tu just wawili tu, Mshua mara nyingi kwa sababu za kazi alikuwa msafiri kwa mama mi ni mtoto wa pekee.
Nilimzoea...
Habari wana MMU ?
Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandika nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.
Ilikuwa tarehe 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumbani...
Wakuu habari za muda huu. poleni na pia hongereni kwa majukumu ya kila siku
Samahani mimi sio mwandishi mzuri kwaiyo kwa wale wote mtakao kerwa na uandishi wangu misamehe sana .Ngoja niende moja...