Anaogopa kunitambulisha kwa marafiki zake kwa kuhofia wataniiba

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,814
15,095
Hello JF.

Last weekend nilikuwa na wife tunapiga story mbili tatu,nikamtania mbona siwajui marafiki zako?akanijibu "akuu unataka nikutambulishe kwao ili wakuibe"?

Ofcoz wife ana marafiki visu sana, naonaga anawapost kwenye status zake kuwawish birthday, ebana ni wakali hatari.ila my point is, mbona anahofia wataniiba?kanionaje kwa mfano?

Karibuni kwa mawazo yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom