Ilikuwa asubuhi moja nazungumza na mpenzi niliyekuwa nafikiria kumuoa nikamuuliza kuwa endapo mzazi wake atafahamu hali yangu ya kiuchumi, kuwa ni ya chini je atakubali nimuoe?
Akasema hawezi...
Habari watu wa nguvu, nna kisa kidogo nataka tujifunze pamoja.
Mwanzo kabisa nilipokuwa mdogo miaka 12 sikua najua chochote kuhusu mapenzi, ila katika umri huo nilikuwa darasa la 6 na wenzangu...
Naitwa secy nahitaji mwenza sifa zangu
Umri: 34
Dini: Christian
Kazi : mwajiriwa ( Government)
Elimu:Degree
Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa
Naihitaji mwenza mwenye sifa zifuatazo:
Umri: 34-47...
Mama mtu katoka mkoani kuja Dar bila taarifa, kakuta binti yake amesafiri kwenda Dubai kufuata mzigo. Akabaki ndani na mume wa binti yake na wasaidizi wa ndani. Yakutokea yakatokea hadi kapata...
Nina umri wa miaka 24, natafuta mchumba wa kike alioko serious wa kuanzisha mahusiano, awa mrefu kiasi, maji ya kunde au mweusi, umri 19-22, elimu kuanzia form four, awe mkweli na mwaminifu, in...
Habari wana JF natafuta mchumba wa kike
Sifa
1 awe mkweli kweny mahusiano
2 mchapakazi
3 mcheshi
4 awe na elimu ya kujitambua
5 maji ya kunde mrefu kidogo sio mnene san
6 awr dar es salaam...
Huu ni ukweli, ukweli utakaowaumiza wengi mliopo na mnaotarajia kuwepo kwenye ndoa.
Ndoa za sasa asilimia kubwa zinaishi kimwili tu na kiroho zilishakufa zamani. Mlikubali kuwa mwili mmoja...
Poleni na majukumu wadau,
Mapenzi bwana acha yaitwe mapenzi, tuseme tu kwa kifupi hayana formula
Unaweza ukawa na hela ukapigwa chini, unaeza ukawa hb ukapigwa za uso na unaweza ukawa fundi wa...
Wanawake saa zingine tuna dhambi mbaya, just imagine mtu anamuacha mumewe ambae ana miaka 60 kwenda juu mbaya zaidi hamuachi akiwa economic stable, unamuachia Nani???
Jana nilikuwa kwenye kipindi...
Zingatia umri hapo juu. Nahitaji mpenzi ambaye tukiendana tutaoana, sifa awe mweupe maana mm n maji ya kunde kwahyo tuchanganye rangi, awe mrefu au wastani.
Awe tayari kupima afya, pia awe tayari...
Habari
Natafuta msichana wa kuwa naye.
Vigezo:-
1. Awe amesoma diploma or degree
2. Umri miaka 20-25
3. Muislamu
4. Mkazi wa Dar es Salaam
5. Mrembo
Umri wangu ni miaka 28. Ni Electrical...
Sifa zangu nina umri wa miaka 32 nmrefu wa wastan mweusi, mpole, nina mtoto 1 wa kike ana miaka 6 nimejiajiri mwenyewe mwanamke ninayemhitaji sifa zake rangi yeyote, mrefu kias muelewa awe...
Uzuri wa mwanamke upo machoni kwa mtu na hakuna mwanamke mbaya hapa duniani nianze Kwa kusema hivyo.
Nirudi kwenye mada yangu, kuna wanawake ni wazuri kupitiliza akipita mbele yenu lazima mkubali...
Many people around the world have the perception that Africa inhabits uncivilized and uncultured people who wear animal skins and hunt in order to get their meals...perhaps it’s because of how the...
Ni mara kaadha nimekua nikiskia baadhi ya shuhuda kwa baadhi ya wanandoa walionza kupambana na maisha wakiwa hawana kitu au walionza from zero mpaka wakawa na vibiashara na miradi kadhaa.
Leo hi...
Natafuta mwanamke ambae ambae tutafikia hadi kuoana na kuishi kwa amani
Sifa
Awe na umri kuanzia 23 hadi 29
Awe muislam
Awe na hof na mungu
NB:
Rangi na kimo sivipi kipaombele. Sio lazima awe...
Hapo juu ni ujumbe wa mchumba wangu, ambaye nimeamua kumpenda japo yeye ananipenda kupitiliza
Ni mtoto ambaye amezaliwa ndani ya familia ya kitajiri japo upande wangu hawajajua vizuri maana...
Sifa za mwanamke
1 Umri 20-24
2 Elimu kuanzia form 4
3 kabila lolote
4 asiwe na mtoto
5 Asiwe mfupi Sana, yaani urefu wa wastani au mrefu kabisa
6 Rangi iwe ya Maji ya kunde au mweupe
7 Awe tayari...
Habar zenu wana Jf wa jukwaa pendwa la mahusiano,mapenz nk. Ndugu zangu mimi leo na mada kama inavoonekana hapo juu.
Kwanini baba wengi wana wivu sana kwa binti zao?? Mfano mimi demu wangu baba...