melick odas
Member
- Jul 1, 2015
- 43
- 50
Mama mtu katoka mkoani kuja Dar bila taarifa, kakuta binti yake amesafiri kwenda Dubai kufuata mzigo. Akabaki ndani na mume wa binti yake na wasaidizi wa ndani. Yakutokea yakatokea hadi kapata mimba ya mkwe wake. Binti kamsamehe mama yake mzazi.