Daa! pole sana kaka kwa yote unayopitia
Ushauri wangu
1.Jaribu kujichanganya na watu ambao wanaweza kukushauri kuacha, usipendelee sana kukaa pekeako
2.Acha kuangalia video za ngono uwapo pekeako, kama ni mpenzi wa mpira, gem, muvi, nyimbo au vichekesho Angalia unachopenda siyo porno
3.Kusema eti uache punyeto kwa siku moja ni ngumu kiukwel, anza kupunguza kidogo kidogo; mara moja kwa siku, baadae mara moja kwa wiki, mara moja kwa mwezi, moja kwa miezi mitatu hatimae utaacha kabisa
4.Wakati unafanya yote hayo anzisha mazoea na msichana yeyote hapo mtaani kwenu, itakusaidia kujiamini, akieleweka mtongoze
5. Punyeto ni nguvu za kishetani hivo muombe Mungu na ikibidi nenda kwa sheikh au mchungaji awe anakufanyia maombi.
Hata mimi nilikuwa mpiga punyeto mzuri tuu ila machache nilioandika hapo juu yalinisaidia nikaacha, natumaini hujachelewa bro [emoji1666]