Tupeane Mawazo: Tunaomiliki wanawake warembo/wazuri

simon2016

JF-Expert Member
Oct 19, 2020
593
1,669
Uzuri wa mwanamke upo machoni kwa mtu na hakuna mwanamke mbaya hapa duniani nianze Kwa kusema hivyo.

Nirudi kwenye mada yangu, kuna wanawake ni wazuri kupitiliza akipita mbele yenu lazima mkubali na kama mnapiga Stori itabidi zisimame, naelewa kila mtu anatfsiri yake kwa maana ya uzuri/urembo wa mwanamke.

Lengo langu hapa wadau tusaidiane jinsi ya kuishi na mwanamke mzuri wengine wanaita pisi kali ama kisu.

Nimewahi kumiliki pisi Kali lakini niliachwa nilikua namwaga pesa Sana, lakini aliamua kuniacha hata bila kunambia chochote. Baada ya miaka miwili nikapata pisi Kali tena Kwa mara nyingine lakini safari hii sina hela dili zangu zote zimesimama na huyu mwanamke hataki kuniacha hata kidogo anasema nitavumilia ipo siku utapata.

Hembu TUPEANE mbinu na mikakati ya kuhakikisha ukipata mwanamke mzuri Unammudu vipi, ili udumu nae kama ni pesa nimetoa Sana, Ila sehemu ambayo nilikua natoa pesa Kuna mtu anakula bure Kwa mwanamke huyo wa zamani na anamuumiza moyo huyo mwanamke wa zamani Kila siku, sijui amempatia Kwa wapi na huyu nilie nae sasa nampa huduma za kawaida Ila haambiwi hasikii kuhusu Mimi, maana hata yule wa Kwanza alikua ananipenda Sana na sijui nilikwama wapi maana hata mkuyenge nilitembeza wa kutosha.

Sio kama nampenda ex wangu,namfatlia hapana ni kwaida tu kama marafiki, Ila baadhi ta rafiki zake Stori zake wananipa Kwa sababu nilimjali sana kama mnvyowajua wanawake, kwahiyo nimeona tuchangie mawazo hapa tujue dawa ya hawa viumbe licha ya utofauti wao ili kuwamudu maana wamekua Pasua kichwa.
 
Wanawake wazuri kiasi hicho unachosema hua sio wa kudumu nao. Hao unachapa tu kipindi upo nae lakini ujue kabisa mda si mrefu mtaachana. Na ikifika kipindi cha kuachana pia usimng'ang'anie... muache aende zake utaepuka mengi.
 
kudum na ke yeyote katika mahusiano kunatokana na option ya matarajio yake, hata kama unampenda vipi/unamwaga pesa vipi kama ndani yako hakuna option ya matarajio yake lazima uachwe tu hakuna namna.
Hujasema uongo ndugu yetu..

Hao 'pisi kali' ni wachaguzi(selective) sana..unaweza kuwa naye ukijua ndio ubavu wako, yeye anaona 'hutoshi' kuwa mwenza wake na yupo nawe kukuridhisha tu au kwa maslahi flani tu
 
Wanawake wazuri kiasi hicho unachosema hua sio wa kudumu nao. Hao unachapa tu kipindi upo nae lakini ujue kabisa mda si mrefu mtaachana. Na ikifika kipindi cha kuachana pia usimng'ang'anie... muache aende zake utaepuka mengi.
Nimekupataaa boss
 
kudum na ke yeyote katika mahusiano kunatokana na option ya matarajio yake, hata kama unampenda vipi/unamwaga pesa vipi kama ndani yako hakuna option ya matarajio yake lazima uachwe tu hakuna namna.
Point hiii nimeweka kichwani. Inategemea matamanio yake pia
 
Ha ha ha kwahiyo hit and run, sasa Kwa nini tuwaogopa tusiwachukulie km wakawaida. Ili tudumu nao
Unamwogopaje mwanamke..sema huwa hatutaki heshima na vipato vyetu vipotee ktk jamii kisa pisi kali.

Adi unaiita pisi kali,ujue kuna wajuba zaidi yako wanaihudumia....Sasa wewe nani udumu nae?
 
Back
Top Bottom