Mume wangu kimbia kuna watu wanakuja kukukamata kazini

Midazolam

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
806
1,336
Hapo juu ni ujumbe wa mchumba wangu, ambaye nimeamua kumpenda japo yeye ananipenda kupitiliza

Ni mtoto ambaye amezaliwa ndani ya familia ya kitajiri japo upande wangu hawajajua vizuri maana sipendi kuweka wazi maisha ya wazazi wangu, na tuko vizuri kuliko wanavyodhani maana mwanzo sikutaka kumwambia ukweli huyu mwanamke ni kutokana na ukweli kuwa nilitaka kumpima upendo wake kwangu.

Sasa kaka zake na dada zake wanakuja juu na kusema sina sifa ya kuoa kwao hata Kama kazi yangu inanitosha kabisa kumhudumia binti yao, hakika wangejua.

Wamekuja kazini wanataka kunikamata wamefika utawala wamejitambulisha kuwa binti yao ni mwanafunzi na hataki kusikia mambo ya kwenda kusoma nje asome hapa hapa, wanatengeneza kesi ili nikamatwe hakika hawanijui vizuri kuwa naweza nikawaingiza kwenye matatizo makubwa sana kwa kutopeleleza vizuri hili jambo pamoja na kutofuata utaratibu.

Nimeitwa

Itaendelea.
 
Pengine ni hadithi. Msimulizi yy ndo kila kitu... Mume na mke
 
Kwahyo bro ww una mume?
 
IMG-20210130-WA0016.jpg
 
Nireteeni Gwajima
Nireteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujiereza Ni Darasa ra Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom