Umuofia kwenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 napatikani mkoani Dodoma,nahitaji kampani ya mdada mtu mzima mwisho 35 na asiwe chini ya 28 na awe na shughuli zake ,tafadhali kama una sifa...
Awe na sifa zifuatazo:
Umri 20-25
Muislam
Mweupe
Mwenye elimu yeyote
Mchapakazi
Mkazi wa Dar es salaam
Umri wangu 26
Nmejiajiri fundi AC
Naishi Tegeta
Njoo pm kma upo tayari
Majirani wetu mpoo!
I'm 25yrs lady from Kenya searching for my better half 30-50yrs.
Note: Sina mtoto, I'm a teacher so the man lazima awe na kazi nisije kulala njaa.
Ukiijua kweli itakuweka huru. Hii ndio kweli hata kama ni ngumu kuielewa.
Ipo hivi, mwanamke akikupenda kwa dhati, hata kukuomba pesa ataona aibu, na hawezi kuvumilia matumizi yako mabovu ya...
Habari za humu ndani wanajamvi,
Mm ni bint mwenye miaka 28 natafuta mwanaume atakaekua mume wangu kama tutafikia muafaka huo.
Sifa zangu
Mkristo nilieokoka nampenda Yesu
Miaka 28 elimu diploma...
Kila mtu anavutiwa na baadhi ya fasheni hasa pale umpendae anapovaa basi roho inajisikia muruaaaa kabisa kiasi cha kwamba unatamani hata umtongoze tena..
Ni vazi gani linakuvutia zaidi akivaa...
Habari Jf,
Mimi ni kijana wa kiume, miaka ishirini na sita [26], Nimetoka mkoani na kuja kuishi huku dalisalama kikazi. Kama mjuavyo huaba wa nyumba🏡🏡🏡🏡 za kupanga nikajikuta nimepanga katika...
Wapendwa
Najitokeza tena kwenye jukwaa hili, kuchukua hii fursa ya kujitafutia mwenza aliyeko tayari kuanza maisha;
sifa zangu;
Nina umri wa miaka 39
Sijawahi kuolewa wala sina mtoto
Naishi Dar...
Habar zenu wadau,,
Mim sio muandishi mzuri sana ila nimekuja hapa natafuta rafiki wa kike,,,
mimi age yangu 28yrs mbishe zangu nafanyia dar es salaam nmeajiriwa kibishi,,
rafiki age yoyote ile...
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya...
Mapenzi ni imani ya ajabu kidogo. Mambo ya ajabu kwangu katika ulimwengu wa Mapenzi Ni hivi.
Wanawake wote ambao Mimi niliwapenda kwa dhati ya Moyo wangu na kutamani kuwa nao kwa mapenzi na...
Wakuu....natafuta lodge iliyo karibu na masaki maana kuna mtoto yuko hapo benki masaki wikii ameniambia nikamle mida ya lunch mana ndo anakua free...sasa wadau lodge gan iko karibia na mitaa hiyo
Habarini wadau, mazoezi ya sit ups na push up yanafaa sana kama mtu una tatizo wakati wa mechi. Kama una tatizo la kuwahi kufika cha msingi ni mazoezi. Fanya push-ups 100 asubuhi na 100 jioni...
Habari za muda huu wakuu, mimi ni member mzoefu ila nimeamua kuja na Id nyingine ili niweze kuwa huru zaidi kwenye hili lililonifanya niandike huu uzi. Kuna jambo linanitatiza sana nahitaji...
Ni muda mrefu sana nilitafakari , hili jambo nikijitahidi kupitia vitabu na chunguzi mbali mbali juu ya jambo hili , Ukweli nimekuja kugundua Kupendana pekeee hakutoshi wala hakufanyi ndoa yako...
Katika zunguka zunguka zangu leo nmepata ring [emoji183] nzuri kwa bei poa kabisa ya Tshs 3,000/= ni gold kwa ajili ya engagement jamaa amesema kama itakua mbaya nirudshe anibadilishie. Wakuu nyie...
Habari ndugu zangu,....
Moja kwa moja niende kwenye maada "Je ulishawahi kuachwa na mtu uliyempenda sana ikaku stress kiasi kwamba ilikuadhili kwa namna yoyote kwenye kwenye maisha yako".
Nauliza...
Natafuta mwanamke nitakayedate naye hadi tujenge ndoa. Nipo Chuo mwaka wa Mwisho
Umri awe kuanzia miaka 18 adi 24, awe mwenye hofu ya Mungu, mkweli, ni vizuri awe Dar es Salaaam
Namba za simu...
Naombeni msaada wenu.
Kuna baadhi ya bia nasikia zinasababisha mtarimbo ulale doro.
Pia nasikia kuna vinywaji vingine vinasababisha rigwaride ridumu kwa muda murefu.
Naomba tujulishane hapahapa...
Hi
I am Jophy, Christian, 29yrs of age, degree holder and I am at Dodoma doing my staff.
I am looking for girlfriend who is not occupied, God fearing woman, Confident very focused and lovely one...