Hello wana MMU !!
Kuna kitu nimekisoma katika uzi wa ramona na kimenifikirisha kwa kiasi kikubwa, zipo tabia fulani tunazo, zingine tumefundishwa wakati wa ukuaji, zingine tumerithi kwa vizazi...
Maisha yenyewe yashakua vagara vagala vululu vululu ,huku covid kule covid version 2.0 kule chanjo huku kuchokonolewa site nyeti ilimaradi tu mambo yawe shagalabaghara.
Leo bana nimeona nishare...
Mambo vipi wadau ipo hivi nilikua na mchumba wangu tuna mahusiano tokea mwaka jana katikati tumeenda vzr tatizo lake anadai akimaliza diploma yake ya sheria mwezi wa tatu anataka aendelee kusoma...
Mpenzi wako akikuzidi pesa au cheo anaweza hata kukunyea mdomoni. Sisi tukuwa na pesa tunaweza kuishi nao kwa amani lakini wao sasa ni kitendawili. Kilichonitokea leo kimenifundisha kutafuta pesa...
Habari wana jf
Kadri siku zinavyoenda nimekua naiangalia hii tamthilia anayoicheza mdogoangu hapa Duniani bado inaniweka njia panda
Iko hivi, mdogoangu alianzisha mahusiano na mwanaume ambaye...
Wakubwa, Salamu!
Kama wiki 2 zilizopita, nilizifuma meseji za Kimapenzi Kwenye simu ya Mpenzi wangu niliyenaye kwa miaka miwili sasa.
Simu yenyewe nilimpa mwenyewe na akaiangusha hivyo nikasema...
Nimeamua kuacha kasumba zangu na kutafuta mke (muislamu)
WASIFU WANGU
- Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30.
Muislamu (msomi kiasi wa dini)
mrefu
mweusi
mwajiriwa
sina gari
sina nyumba...
Nipo na toto moja la kimanyema pembeni tunapiga stori ananiambia kuwa usione ugomvi majumbani mwa watu tatizo nguvu za kiume, mwanaume kukaa bila mazoezi mgege haupitishi damu upo tu wakati kuna...
Mwanamke ameumbwa akawekewa nakshi mbalimbali mwilini mwake za kuvutia kama matiti, matako laini, miguu iliyoumbika, hana manyoya bali ngozi laini na nyororo, nywele nzuri, mapaja ya kuvutia...
Ipo hivi,
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu.
Lakini...
Habari za machana wana MMU. Ni matumaini yangu makubwa kwamba wikiendi yako inaenda vyema sana. Kwa wale ambao wikiensi haiko vyema leo kwa sababu unaumwa au huna pesa n.k piga moyo konde na uwe...
Nina ndugu zangu 11 kwa baba, wanne kati yao tumezaliwa baba & Mama mmoja, Mama yetu aliachika akaenda kuolewa na baba mwingine huko nako kuna ndugu zangu wawili jumla nina ndugu 13, baada ya mama...
Kutumia mitandao kuna changamoto sana
Watu wengi wamejikuta wanapata karaha kwa kutongozwa mtandao
Ingawwa wengine wanapenda
Saababu
Picha unazoppost
Muonekano
Au lugha
Jina unalotumia
Au...
Vigezo awe mrefu au wastani, mweupe wa asili au maji ya kunde.
Umri chini ya miaka 25.
Dini yoyote ile ila akubali kuolewa na mkristo.
Elimu level yoyote ile ila aweze kutunza familia.
SIFA ZANGU...
Mimi nakumbuka niliwahi kuwa na manzi/Msichana mmoja katika kupiga piga story akaniambia:
“Hivi siku ikitokea nimekuacha utafanya nini?" Nikamuuliza "umefikiria nini kusema hivyo?" Akaniambia...
Jamanii eeeh
Kama mada inavyojieleza hapo juu
Hapa nilipo nna hali mbaya Sana,mwili umechemka maumivu ya viungo ndo usiseme.
Nikajikaza nije hospital kupima,hapa nimemkuta dokta binti binti...
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu
Nina umri wa miaka 30
Dini muislamu
Muajiriwa serikalini!
Nina mtoto 1
Makazi mbeya
Sifa za mwanamke ninaye muhitaji
Umri miaka 23-32
Awe muislamu
Elimu...
Wasalam
Moja kwa moja kenye mada, Hivi unawezaje kumrudia mtu ambaye mliachana. Waza kwamba mhusika unaetaka kumrudia kapita na wangapi toka mmeachana. Kama mwanzo hamkuweza kukuza uhusiano wenu...
Umuofia kwenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 napatikani mkoani Dodoma,nahitaji kampani ya mdada mtu mzima mwisho 35 na asiwe chini ya 28 na awe na shughuli zake ,tafadhali kama una sifa...