Nimeachana na mchumba. Anataka kusoma 'degree' na mimi nazidi kuzeeka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
Mambo vipi wadau ipo hivi nilikua na mchumba wangu tuna mahusiano tokea mwaka jana katikati tumeenda vzr tatizo lake anadai akimaliza diploma yake ya sheria mwezi wa tatu anataka aendelee kusoma degree.

Sasa na mimi nikipiga hesabu nina miaka 27 nimsubiri mpk amalize miaka minne itakua parefu nitakua na miaka 31 japo anasema tutaonana ndo aendelee na chuo sasa si utopolo huo ukizingatia namtumia pesa kila week zaid ya 20000.

Halafu kibaya zaidi ye ni muislam me mkristo bado kuna kipengele sasa kwa kuwa me sipendi lomoni nikamchana live tuachane tu tusipotezeane muda isije baba yako swala tano akakukutaza kuolewa na mimi MKKKT.

Demu kampigia mpk mama yangu kumwambia maza naye kamwambia stori zangu za mimi kunywa pombe demu kanipigia simu kuwa mama yako analalamika bado unakunywa mitungi nikamwambia we tulia mimi sipo na wewe tena nikaushie nipambane na hali yangu me nitaacha pombe nikiwa na mwanamke chumbani..

Akakubali tuachane maana me na stress kinyama nitafutieni mchumba basi jamani mimi ni kiwa na mke pombe naacha hivihivi siwez kuacha maana nisipolewa nitapiga punyeto usiku nitaridhika.
 
muulize swali ilo
 

Attachments

  • IMG-20210202-WA0004.jpg
    IMG-20210202-WA0004.jpg
    70.4 KB · Views: 1
Kuwa mpole, mpe mimba alafu mwambie umeridhia akasome digirii
 
Una geto au upo kwa mama.?

Ukiwa na geto kukosa jiko huo ni ushamba.
Tongoza ata bar attender, wewe mla tungi gani ? upo razy razy ?
 
Bora ....umeachana nae mkuu ......wakija huku degree. ....wanakua wetu.....tunajipigia tunavotaka
 
Hahahaha karoho kanakuuma kupewa go ahead ulidhani atayumba?

Madem wasasa wamepinda sanaa dadeki ndio mama kwawakati wasasa inatubidi wanaume tubadili mitahara kuoa/kuishi namwanamke isiwe lazima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom