Tunza nguvu zako za kiume, maisha haya bora mtu umuazime pesa atarudisha sio nguvu za kiume

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
476
Nipo na toto moja la kimanyema pembeni tunapiga stori ananiambia kuwa usione ugomvi majumbani mwa watu tatizo nguvu za kiume, mwanaume kukaa bila mazoezi mgege haupitishi damu upo tu wakati kuna mtu yupo ndani anatakiwa kukunwa akunike.

Wanaume tupigeni kazi tusisahau kutafuta na kutunza nguvu za kiume, piga zoezi, kula vizuri, pumzika ukimkamata gonga mpaka aombe maji ya kunywa, nilishawahI mkamata mtoto wa chuo kimoja kikubwa TZ mubashara kanasoma masters ya education tulipima na alizimia mzigo niliompa mpaka leo anatoroka kufata six park akiwa na madesa yake mkononi ananiuliza kuwa nimetokea jela nikamwambia haya ni majukumu kama majukumu mengine niache nifanye kazi yangu.

Napiga teaz natumia juice ya kitunguu saumu mchanganyiko na tangawizi kufanya blood flow kuwa nzuri yaan kwa kweli mimi ni mlafi wa vipochi manyoya ole wako mbele yangu nikuone nakubeba mzima mzima nikiona kipochi manyoya nakuwa na hasira sana sina utani katika hili

Nawakilisha
 
Nipo na toto moja la kimanyema pembeni tunapiga stori ananiambia kuwa usione ugomvi majumbani mwa watu tatzo nguvu za kiume mwanaume kukaa bila mazoezi mgege haupitishi damu upo tu wakat kuna mtu yupo ndani anatakiwa kukunwa akunike,

wanaume tupigeni kazi tusisahau kutafuta na kutunza nguvu za kiume
piga zoezi,kula vizuri,pumzika ukimkamata gonga mpaka aombe maji ya kunywa nilishawah mkamata mtoto wa chuo kimoja kikubwa TZ mubashara kanasoma masters ya education tulipima na alizimia mzigo niliompa mpaka leo anatoroka kufata six park akiwa na madesa yake mkononi ananiuliza kuwa nimetokea jela nikamwambia haya ni majukumu kama majukumu mengine niache nifanye kazi yangu

napiga teaz natumia juice ya kitunguu saumu mchanganyiko na tangawizi kufanya blood flow kuwa nzuri yaan kwa kweli mm ni mlafi wa vipochi manyoya ole wako mbele yangu nikuone nakubeba mzima mzima nikiona kipochi manyoya nakuwa na hasira sana sina utani katika hili
Nawakilisha
Huo mchanganyiko wa juice unatengenezwaje
 
chukua vitunguu saumu kumi vikubwa menya changanya na tangawizi ikiwa imemenywa imekatwa kwata tia maji kidogo tia kwenye brenda saga utengeneze juici kikombe cha nusu lita kunywa asubuh mchana na jioni utaniambia halaf piga teaz utaona
 
tafadhali fafanua juisi hiyo inatengenezwaje
chukua vitunguu saumu kumi vikubwa menya changanya na tangawizi ikiwa imemenywa imekatwa kwata tia maji kidogo tia kwenye brenda saga utengeneze juici kikombe cha nusu lita kunywa asubuh mchana na jioni utaniambia halaf piga teaz utaona
 
ma
Huo mchanganyiko wa juice unatengenezwaje[/QUOTE
Mahitajio
vitunguu saumu 6 menya chukua na tangawizi menya vingi upendavyo changanya weka kwenye brenda saga ijae nusu lita asubuhi mchana jioni ili usitoke lazima uharishe utoe uchafu wote hata kama unakiporo cha mwezi tumboni kinatoka na kama ulikunywa masoda yote yanaondoka unabaki mpya
 
Back
Top Bottom