Huwa unafanya nini unapotongozwa mtandaoni?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Kutumia mitandao kuna changamoto sana

Watu wengi wamejikuta wanapata karaha kwa kutongozwa mtandao
Ingawwa wengine wanapenda

Saababu
Picha unazoppost
Muonekano
Au lugha
Jina unalotumia

Au sababu yoyote ile

NB: Binafsi nakutanaaga na haya maswaibu hadi nikaamua kudelete picha zangu hasa facebook na insta: Kwakua mi kublock mtu huwa siwezi basi huwa nafuta msg bila kuifungu!

Tujuze
 
Samahani mkuu mimi naomba niulize hiyo Top ni top ile ya watu wale wa makonda au una maanisha top ile ya juu?
Ha ha ha haa... Dah kulikuaga na mtandao flani hivi was kijani miaka ya mwanzo mwanzo wa matumizi ya net, ule mtandao ulikuwa unatumiwa kwa mambo ya mziki ila baadae hao matop na maversile wakauvamia ukawa mtandao hatari sana.. Ulifutwa nadhani.
 
Kutumia mitandaao kuna changamoto sana


Watu wengi wamejikuta wanapata karaha kwa kutongozwa mtandao
Ingawwa wengine hanapenda

Saababu
Picha unazazoppost
Muonekano
Au lugha
Jina unalotumia

Au sababu yyte ile

Nb:binafsi nakutanaaga na haya maswaibu had nikaamua kudelete picha zangu hasa facebook na inssta :Kwakua mi kublock mtu huwa cwez bas huwa nafuta msg bila kuifungu!


Tujuze
Kwanza tuanzie hapa wewe ni Ke au Me
 
Roughly 10 per day everyday
Mkuu hapo kuna mawili, labda wewe ni handsome sana au unaexpose maisha yako kiasi cha kufanya watoto wa kike waamini una mawe ya kutosha! Ila kwa Uzi huu usishangae kina mama wa humu nao wakatiririka PM.

NB; usiwe unakataa wanawake! Ni mwiko mwanaume kukataa mwanamke hata aweje.
 
Back
Top Bottom