Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko? Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
6 Reactions
31 Replies
709 Views
Juzi nimemfuma mpenzi wangu na lijamaa linamla nyumbani kwake ni bint ambaye nina mihadi nae kumuoa ni kabint flan hivi karembo ukipita nako mtaani aah kwakweli sijaona wa kufananisha nae...
7 Reactions
16 Replies
385 Views
Habari JamiiForums Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea. Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015. Ni kama juzi tu tangu hayati...
10 Reactions
64 Replies
675 Views
Kwema wakuu Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi...
21 Reactions
60 Replies
1K Views
Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika...
40 Reactions
406 Replies
33K Views
Jamaa yangu amempata binti kutoka Tarime, walipatana kwa kukosea namba tu hawajawahi kuonana isipokuwa kuchati, kupigiana simu, video calls na kutumiana picha. Jamaa anasema wamependana kweli...
12 Reactions
85 Replies
1K Views
Wakuu, Umewahi kuomba tendo la ndoa kwa mke au mume wako? Je unaombaje? Kwa upande wangu huwa naomba hivi "Mke wangu naomba tamuu" nae mke wangu anasema "Mume wangu leo tunapumzika maana wewe ni...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
-kama unajijua wewe ni pc kali/handsome boy weka sifa zako hapa tuzichambue.
0 Reactions
9 Replies
201 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu.. Nimeamua kujiengua rasmi kutoka kwa binti wa kimeru niliye mzimikia kwa akili zangu timamu hata kufikiakuhitaji kumuoa, kipindi cha nyuma niliamua kumuanzishia...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe. Kelele za...
18 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda, Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na...
9 Reactions
118 Replies
6K Views
Sharti uwe na watoto kuanzia 3 kwenda mbeleeeeée. Ooh my god njoo pM
2 Reactions
25 Replies
412 Views
Madem mnaokuja magetoni kwetu acheni uchaw 😭😢 wanaume wenzangu tuwe makini sana leo ningepatikana japo nilikuwa na lengo baya ila limeniokoa, Kuna dem nilianza kumfukuzia few weeks ago sasa leo...
2 Reactions
12 Replies
584 Views
🔥💪TUMIA SIRI HIZI 6 TU, KUMKOJOZA MKE WAKO USIKU WA LEO ⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️ Kumfikisha mwanamke kileleni ni mchakato unaohusisha utambuzi wa mwili wake, hisia zake, na mahitaji yake ya kimapenzi. Nakupa...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Ilikuwaje mpaka ikatokea ukaingia kwenye ndoa bila kukusudia. Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅
7 Reactions
39 Replies
898 Views
Ukikaa na baba yako huwezi kujua makosa ya mama yako wala hawezi kukuambia makos a ya mama yako na kasoro zake Ila ukikaa na mama yako utajua makosa ya baba yako na utajua kasoro za baba yako...
10 Reactions
8 Replies
389 Views
Mambo unayo paswa kuyaelewa vizuri kuhusu Madem zako ,Watoto wako na Mkeo. 1.Demu wako ambaye hujui anfanya kazi gani, ndo BAR maid wa BAR ya mbali na mtaani kwako 2. Mwanao wa Kike ambaye...
3 Reactions
17 Replies
520 Views
Utoto raha sana, mambo gani ulifanya utotoni ambayo unayakumbuka mpaka leo? Kwangu mimi niliwahi niliiba nyama jikoni mama akajua, akanitandika fimbo nyingi sana mpaka alama bado mpaka sasa...
2 Reactions
14 Replies
249 Views
Wakuu habariii, Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa...
17 Reactions
136 Replies
3K Views
Back
Top Bottom