Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya...
15 Reactions
76 Replies
1K Views
Nasikia anaitwa mamaruu Mariam KWA kweli huyu Binti anaukonga MOYO WANGU, nimechunguza nimeambiwa YUPO ch,,,,,,,,,,,, ana duka la ,,,,,,,,,,,. Nataka NIJUE KAMA ASHA olewa au BADO nimpose WAKUU...
9 Reactions
107 Replies
2K Views
Wakuu! Sababu zipi zilisababisha ukaoa ama ukaolewa? Unawashauri nini vijana ambao bado hawajaoa/kuolewa na wanao kataa ndoa kabisa?
7 Reactions
68 Replies
1K Views
Msaada tafadhari, je ni tatizo?
4 Reactions
31 Replies
714 Views
Wakuu, Yamenitokea, sina furaha kabisa😭😭mtaani kwetu Kuna mdada mzuri kapanga anafanya kazi ktk ofsi fulani. Siku ya kwanza tu kuingia ktk chumba nikachangamkia fursa, nikaenda kupika nae...
12 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu, tangu nimejiunga katika jukwaa hili may 10,2023 nimefanikiwa kufikisha reactions mbalimbali takribani 10,530. Kufikisha reactions takribani 10530 ni hatua ambayo si ya kupuuzwa kwani maoni...
4 Reactions
5 Replies
155 Views
Sijisifii... Nasikitika tu kuwa nimekuwa na tabia mbaya sana. Nimetembea na zaidi ya wanawake 150. Hao ni ambao nimewakumbuka. Nimeona maumbile ya aina tofaut tofaut. Kuna ambao ni flat, kuna...
4 Reactions
44 Replies
762 Views
Hebu njoen Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana Ananipa kila kitu nnachotaka Nakatazwa kutoka nje hata...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi...
13 Reactions
34 Replies
756 Views
✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano) KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Mpaji Mungu aliniiita geresa ambaye hafai kutambulishwa nyumbani kwa wakwe. Hii iliniuma sana why ni madharau na ukiangalia sijawahi mlazimisha mtu aje kwangu kwa lazima. Kilichoniuma zaidi ni...
13 Reactions
157 Replies
4K Views
Wakuu, Mimi sina muda maalumu,sikati tamaa,utanizungusha weee nipo nawe tu mpaka pale takapohakikisha kuwa hunipendi. Imenichukua miezi 8 mpaka kuja kumlamba binti jumapili iliyopita. Vipi kwa...
3 Reactions
12 Replies
163 Views
yaani anahitaji boyfriend awe na miaka 25,awe na gari, nyumba, kazi ya maana, iPhone ya mwisho,awe handsome, awe na ndevu zilizo mkaa vizuri , awe na pesa ,awe na muda wa kuwa anachati nae muda...
9 Reactions
36 Replies
551 Views
Hii wiki nzima nilikua mpweke sababu baba watoto wangu alisafiri na mwaka mpya nilikua nauingia nikiwa peke yangu bila yeye. Alfajiri hii nashtuka nasikia kama napapaswa kifuani, nafungua macho...
15 Reactions
221 Replies
4K Views
Wakuu, Mganga wa jadi kazi yake kuponya magonjwa kwa kutumia dawa za mitishamba, hapo dhambi yatoka wapi? Dhambi ni pale mtu huyo anatumia mitishamba hiyo kuua au kufifisha mipango ya mtu...
6 Reactions
18 Replies
501 Views
Nimekuja hapa JamiiForums kuomba ushauri na msaada Kwa namna moja au nyingine, hapa nimekuwa nikisoma tu nyuzi za watu nilikuwa sina account na mimi nimeona nijiunge nitoe yanayonisibu labda...
26 Reactions
201 Replies
8K Views
Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba. Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu. Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri...
19 Reactions
616 Replies
14K Views
Ila kuna makaburi mengine hayana aura kabisa, unapita usiku hata vinyweleo havisimami kama yale ya kinondoni.
3 Reactions
15 Replies
321 Views
Muhenga aliyesema shukrani ya punda ni mateke kuna uwezekano alikuwa anaongelea wanawake 😀😃😀😃 Just imagine mwanamke unapambana kumtongoza mwisho unampata baada ya kumpata unajitambulisha kwao...
9 Reactions
19 Replies
591 Views
Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya...
8 Reactions
43 Replies
1K Views
Back
Top Bottom