Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe. Kelele za...
18 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda, Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na...
9 Reactions
118 Replies
6K Views
Sharti uwe na watoto kuanzia 3 kwenda mbeleeeeée. Ooh my god njoo pM
2 Reactions
25 Replies
412 Views
Madem mnaokuja magetoni kwetu acheni uchaw 😭😢 wanaume wenzangu tuwe makini sana leo ningepatikana japo nilikuwa na lengo baya ila limeniokoa, Kuna dem nilianza kumfukuzia few weeks ago sasa leo...
2 Reactions
12 Replies
584 Views
🔥💪TUMIA SIRI HIZI 6 TU, KUMKOJOZA MKE WAKO USIKU WA LEO ⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️ Kumfikisha mwanamke kileleni ni mchakato unaohusisha utambuzi wa mwili wake, hisia zake, na mahitaji yake ya kimapenzi. Nakupa...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Ilikuwaje mpaka ikatokea ukaingia kwenye ndoa bila kukusudia. Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅
7 Reactions
39 Replies
898 Views
Ukikaa na baba yako huwezi kujua makosa ya mama yako wala hawezi kukuambia makos a ya mama yako na kasoro zake Ila ukikaa na mama yako utajua makosa ya baba yako na utajua kasoro za baba yako...
10 Reactions
8 Replies
391 Views
Mambo unayo paswa kuyaelewa vizuri kuhusu Madem zako ,Watoto wako na Mkeo. 1.Demu wako ambaye hujui anfanya kazi gani, ndo BAR maid wa BAR ya mbali na mtaani kwako 2. Mwanao wa Kike ambaye...
3 Reactions
17 Replies
520 Views
Utoto raha sana, mambo gani ulifanya utotoni ambayo unayakumbuka mpaka leo? Kwangu mimi niliwahi niliiba nyama jikoni mama akajua, akanitandika fimbo nyingi sana mpaka alama bado mpaka sasa...
2 Reactions
14 Replies
249 Views
Wakuu habariii, Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa...
17 Reactions
136 Replies
3K Views
Wakuu, Omba yasikukute, narudia tena omba yasikukute, kufuta namba ya simu ya mtu uliyekuwa unampenda kwa dhati ni jambo gumu mno. Wakuu, mpenzi wangu amefiwa na shangazi yake ambaye kiukweli...
18 Reactions
65 Replies
3K Views
Hivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Nataka nifanye hii kitu, nina mambo binafsi nataka chumba mtaani niweke dogodogo huko niwe napita kama nyumba ndogo siku mojamoja (NINA SABABU ZANGU ZA MSINGI NISINGEPENDA KUZIWEKA WAZI). Hapa...
5 Reactions
37 Replies
969 Views
Kama umeshawahi kuchakata hawa superwoman utanielewa nachomanisha. Hawa wanawake wenye akili nyingi, mali, wafanyabiashara, wazuri wa umbo na sura ambao ndio vinara wa kuhimiza Mwanamke...
6 Reactions
9 Replies
476 Views
Hapo vip! Wanaume weupe tunaweka mbegu tu,alafu tunaendelea na kutafuta pesa na kubadisha dunia kuwa sehemu nzuri,ndio maana tumeleta technology,magari,umeme,computer,ndege n.k hapa hamna mwanaume...
8 Reactions
40 Replies
739 Views
Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea. Iko hivi kwa sasa nina miaka 44...
28 Reactions
207 Replies
3K Views
Wakuu, naomba tupeane experience, Ipi sababu iliyokufanya uolewe/uoe? 1. Je ni kwasababu ulichoka kuishi maisha ya upweke? 2. Je ni kwasababu ulishindwa kuzuia hisia? 3. Je ni kwasababu ulipata...
3 Reactions
1 Replies
183 Views
Miaka 12 ya mapenzi, visa na mikasa nikiwa na Renata Sehemu ya kwanza Wadau kwa kuwa ni mwisho wa mwaka na nimeanza likizo nikaona bora niweke bandiko langu hapa jukwaani kuhusu mahusiano yangu...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani...
15 Reactions
98 Replies
2K Views
Back
Top Bottom