Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jamvuni salaam, Katika pitapita yangu nilibahatika kupata mtoto na binti wa kisukuma, kwa mujibu wa maelezo yake alidai kuwa ujauzito wa huyo mtoto mi ndo muhusika sikuweza kataa kwa sababu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii imenifikirisha sana! Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu. But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela...
13 Reactions
169 Replies
11K Views
☰ All human beings need that love of a lifetime, however, exercise indicates that this type of situation is an uncommon exception to a harsh truth. In Europe, human beings have commenced getting...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mida hii wana JF wote, natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa nchi yetu lakini mkichukua tahadhari zote zinazohusiana na Covid 19. Nije kwenye mada, leo nimepokea sms kutoka kwa...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Habar wakubwa nimefanya utafit wangu mdogo kwa kuzingatia past life experiance nimebain kwamba mabint wengi wamezalishwa mtoto mmoja bila kuolewa wengi wamepanga wengine wanaish kwao tena wako so...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Imekuwa kama ni ndoto kwangu hatimaye Yule mwanamke niliempenda na nikiamini atakuja kuwa wife material hatimaye leo asubuhi ameniacha. Amenipigia simu akiniambia nina maongezi na wewe kama uko...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari. Kuna mambo ya ajabu sana kwenye jamii zetu na kila kukicha yanazidi kutokea na kuna siku yataonekana ya kawaida. Mada inaweza kuwa na uzi wenye maneno yasiyofaa ila ndio maneno ambayo...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zenu! Mimi ni mwanachuo wa UDOM mwaka wa kwanza pia nina mpenzi/mchumba wangu anaesoma st john mwaka wa pili , mim nasoma BA.education au wengi huita BAED lakin mwenzangu anasoma Advanced...
2 Reactions
110 Replies
12K Views
Wekeza hela zako kwa ajili ya future wife wako na watoto wako.. Kama zinakuwasha na unataka kuzitoa basi wape wazazi wako, ndugu zako au hata majirani zako.. Sio kumpa binti kisa eti ni mzuri...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna Umri fulani ukifika, kama kijana ni vyema utafute binti mmoja mtengeneze chemistry yenu, mjengane kimaisha katika misingi ya uwazi, ukweli, na uhalisia siku moja mje kuoana. Ni hatari kwa...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Karibuni mnisaidie ushauri maana nipo njia panda.... Mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato cha nne kijijini katika shule moja ya kata huko kanda ya ziwa, nilipata mwaliko kutoka kwa baba yangu...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
MISTARI KUHUSU NDOA... 1. WAEFESO 5.28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Baadhi ya wanawake wasiokuwa waaminifu hutumia ili kujihami pindi linapotokea la kutokea. Mbinu wanayotumia ni kufanya screenshoot baadhi ya conversation pindi anapotongozwa na baadhi ya wanaume...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, natumaini mu wazima wa afya. Binafsi nimekuwa nikitafakari sana jambo hili, nimekuwa nikisikiliza friend zangu walioko kwenye mahusiano na wapenzi wao, wakiongea kwa kujisifu...
1 Reactions
2 Replies
825 Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoelezea, huyu msichana ni mrembo, na nmemkuta mrembo, mwanzoni ilkua kawaida na alikua hawezi kuomba kitu chochote, mpaka umuulize hadi nkawa...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Kutopata wananamme wa kuoa Hili ni lalamiko la wanawake wengi, hapa iwe ulikuwa unatembea na mume wa mtu au la. Unapoachana na mtu uliyedumu naye kwa muda mrefu, au unapomaliza utoto wanawake...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Tunapata picha tofauti kabisa kwa hawa wanawake wa JF, ambao kati yao ni mama zetu, bibi zetu dada zetu na hata wadogo zetu... Ni wa kawaida kabisa walipo popote ofisini mitaani majumbani na...
52 Reactions
1K Replies
71K Views
Wakuu naombeni ushauri, mpenzi ananilalamikia umri wake umeenda sana mpaka sasa hana mtoto hana familia hajaolewa hivyo anahitaji tutengeneze familia na pia nijiandae swala la ndoa Nikijiangalia...
7 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakuu Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women. Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka...
51 Reactions
174 Replies
14K Views
Jaji mmoja anasimulia kuhusu tukio moja la wanandoa waliotaka kuachana. Mke ndiye aliyetaka talaka. Katika kikao cha kwanza, jaji alisogeza mbele siku ya kutoa hukumu ili kuwapa fursa wahusika ya...
10 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…