koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,813
- 10,446
Wekeza hela zako kwa ajili ya future wife wako na watoto wako..
Kama zinakuwasha na unataka kuzitoa basi wape wazazi wako, ndugu zako au hata majirani zako..
Sio kumpa binti kisa eti ni mzuri, Inatakiwa apewe na wazazi wake kwa kumfanya awe mzuri na wakuvutia..