Vijana tuelewane kidogo

wakwatito

Member
Apr 15, 2018
30
49
Kuna Umri fulani ukifika, kama kijana ni vyema utafute binti mmoja mtengeneze chemistry yenu, mjengane kimaisha katika misingi ya uwazi, ukweli, na uhalisia siku moja mje kuoana.

Ni hatari kwa kijana atafutaye maisha kuanza kurukaruka na kumangamanga huku na kule ktk mahusiano.
 
Wanawake mnatia stress nyie, hivi huwa mnaaminigi mwanaume huwa ana pesa muda wote tu,
Aweke akiba,
Atakiwe kukununulia kitu fulani ndani ya week,
Akupe ya kusuka,
Safari za kushitukiza, n.k
Yani matumizi yoyote tu hela ipo..?
Mwanaume ni majukumu na kuhudumia, bila kusahau kutuma na ya kutolea...
 
Kuna Umri fulani ukifika, kama kijana ni vyema utafute binti mmoja mtengeneze chemistry yenu, mjengane kimaisha katika misingi ya uwazi, ukweli, na uhalisia siku moja mje kuoana.

Ni hatari kwa kijana atafutaye maisha kuanza kurukaruka na kumangamanga huku na kule ktk mahusiano.
Hapa tutakuelewa tu sisi vijana ambao damu ina chemka lakini tumeoa zamani kidogo.
 
Mwanaume ni majukumu na kuhudumia, bila kusahau kutuma na ya kutolea...
Aisee mnaomba hela sanaaa hadi kupitiliza.

Na ndio maana na sisi wanaume tunamega tundaa wee, hali ikizidi kuwa mbaya tunajitoa.

Na hatusemi sababu, tusijulikane tunakimbia kuhonga.
 
Back
Top Bottom