Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani kuishi kwingi kuona mengi. Bro alikua bonge la mshua, ukirudi likizo akianza kukupa mipango ya baadae lazima upige saluti "hapa tuna jembe la ukoo". Jamaa full optmistic, kila mchongo...
15 Reactions
127 Replies
14K Views
Hope mko poa kabisa, ngoja niende kwenye mada. Imani niliyonayo ni kwamba Mungu hakupi vyote na kati vitu nilivyobalikiwa ni uzuri wa sura na upole na kitu ninachofahamu kabisa nimenyimwa ni...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Vijana wenzangu,,, kiukweli hawa mademu wa staili hii wananiboa saaaaaaaana, binafsi napendaga demu natongoza kisha mtongozo wote unaeleweka hapohapo, ila utawakuta hawa wengine mara subiri...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwenye mada husika. Nimebaini watu wengi maskini ndoa zao ziko happy na wanadumu kwenye mahusiano hadi kufa na kuzikana hususani Vijijini. Ukija kwa wenye kipato cha nafuu hususani mjini...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanaume huyu toka jamii kutoka Ndola aliamua kumuacha mke wake waliyeoana miaka saba iliyopita na kufanikiwa kupata watoto wawili. Mwanamke huyu alienda mahakamani ilikutafuta suluhu ya ndoa yake...
81 Reactions
294 Replies
28K Views
Natumai mu wazima kabisa humu . huku kimvua tu nje kinapiga cha wastani. Tena hichi kimvua ndo kimenipa mawazo kabisa yan.Aisee Leo zinatimia wiki mbili naona kama tumeliana buyu na mama mtu...
1 Reactions
4 Replies
925 Views
Wakuu habarini. Wahenga wa kizungu waliwahi sema 'practice makes perfect'...yaani vile unavyolifanya jambo fulani mara kwa mara ndivyo unavyo imarika na kulimudu. Mtakubaliana nami kwamba...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Naitwa mercy natafuta mwenza wa kufanya nae maisha sifa zangu ni: Umri 33yrs Dini Mkristo Elimu Degree Kazi Mwajiriwa serikalini Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa koz nilikuwa nasoma na...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo ikiwa ni wikend tushirikishane baadhi ya visa vya fumanizi tulivyowahi shuhudia au vilivyotutokea sisi binafsi ili tupate funzo. Binafsi nina visa vitano tofauti nilivyovishuhudia. Kisa cha...
14 Reactions
56 Replies
12K Views
Habari watu wa Mungu! Wakuu, kuna manzi miaka kadhaa nyuma aliwahi kunilaza lock up kisa nilimlabua makofi. Iko hivi, alikuwa ni mpenzi wangu, so ikatokea tukakwaruzana mimi nikamchapa makofi...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini? Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera...
18 Reactions
113 Replies
22K Views
Katika relationships watu hujifunza mambo mengi sana, yanaweza yakawa mazuri au mabaya. So kama kichwa cha mada kinavosema, what lessons did you learn from your past or last relationship? Lets...
2 Reactions
241 Replies
25K Views
Habari za wakati huu poleni na majukumu na misiba tunayoipata ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu kuhusu ili swala la mke wangu kujiona mbaya asie na uzuri wowote hali...
19 Reactions
141 Replies
13K Views
Habari za usiku huu, Rejea kichwa cha habari, leo hakuna mahaba. Lengo la uzi huu ni kuwapa faraja wanaume wote hasa wale ambao wanapitia kipindi kigumu kwenye maisha yao. Najua kuna wanaume...
22 Reactions
68 Replies
5K Views
Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha 1.Mwanamke mkristo 2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo) 3.Elimu...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwetu tumezaliwa watano,wa kike wawili na wa kiume watatu na mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa. Katika kukua nilijikuta nikivutiwa kimapezi na mdogo wangu wa mwisho wa kike ambae tumepishana miaka...
2 Reactions
82 Replies
56K Views
Tuliowahi kuishi kwa mashemeji wakike au wakiume tuweke visa vyao hapa, Binafsi. Kabla ya kuanza kuchakata viazi kuwa chipsi nilikuwa naishi kwa bro wangu mtoto wa mama mkubwa ambae tayari...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
JE UNAWEZAJE KUJINASUA KWENYE PENZI LINALO KUNYIMA USINGIZI🤷🏽‍♂ Ni kweli MOYO ukipenda unakuwa umependa but MATESO yanapozidi MOYO huo huo ndo wenye kuamua kuendelea ama kuacha, Kwanza kabisa...
5 Reactions
26 Replies
12K Views
1.Mwanamke ambae katika mahusiano anataka yeye awe ndio final say. 2.Mwanamke anajali mambo yake kuliko uhusiano wake na wewe. 3.Mwanamke ambae akiwa nacho ni mgumu kukusaidia hata kidogo...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna hizi pisi nimezikumbuka mpaka nikasema, jamani kuna wanawake wanaroho nzuri. Ukweli sisi wanaume hamna kitu tunapenda kama unakutana na mwanamke halafu unamuomba game siku hiyo hiyo anakupa...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…