Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?

Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera.

Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
 
Duh!
Kuna mada ila hii hata msaada haina!
Kweli kabisa cha kufikiri hamna?
 
Back
Top Bottom