Observation: Kwa nini ndoa za maskini zinadumu kuliko ndoa za wenye nafuu ya kipato

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,035
6,907
Kwenye mada husika.

Nimebaini watu wengi maskini ndoa zao ziko happy na wanadumu kwenye mahusiano hadi kufa na kuzikana hususani Vijijini.

Ukija kwa wenye kipato cha nafuu hususani mjini wanandoa wanamigogoro isiyoisha na mwisho wa cku ndoa zao hazidumu.

Situkuzi umaskini lakini kwa nini kipato kiwe chanzo cha ndoa kuvuruga?
 
Mada yako ni fikirishi sana, ila iyo ndoa ya kijijini ukiiamishia mjini nina uhakika itavunjika, mjini mambo ni mengi sana mkuu amini ivyo, ukiwa kijiji unamani kuwa mwalimu au nesi tu, ukiwa mjini utatamani mambo mengi sana mkuu.
 
mada yako ni fikirishi sana, ila iyo ndoa ya kijijini ukiiamishia mjini nina uhakika itavunjika, mjini mambo ni mengi sana mkuu amini ivyo, ukiwa kijiji unamani kuwa mwalimu au nesi tu, ukiwa mjini utatamani mambo mengi sana mkuu.
Kwa nini mkuu
 
Wahuni waseme mara ngapi kwamba Raha ya dunia ni dhambi

Wana NDOA waliodumu kijijini hata wakija mjini wanaweza kudumu pia.

NOTE: PESA huja na tabia zake,,, na mjini ndio pesa ilipo so hizo ndio tabia zake.

Elewa kama ilivoandikwa
 
Mtazamo wako tu nani kakwambia ndoa ni pesa ama utajiri ama umaskini , haya ni mawazo yako tu hivi vitu huwa havina fomula maalum
 
Mim naona watu wenye hali za chini za maisha au kipato cha chini kwanza wana muda mwingi wa kuwa pamoja,kupanga maisha na kusikilizana so mara nyingi sehemu hii amani na upendo unakuepo kwa kiasi kikubwa sana..
Matajiri kwanza unamtoa wap kama ni mwanaume anaeza kusafir miez hata sifa ana tafuta pesa anakimbizana na mabiashara huo muda wa kuanza kukaa na kuneng’eneka na mke hanaga ndo mana upendo haupo yan hata muda na familia anakua hana yeye bize na kusakanya pesa..chaa!
 
Nilichojifunza ni kuwa ndoa za wenye hela haziwezi kudumu kwa sababu Mama akishiba atataka abadilishe na mboro pia na kwa baba ni hivyohivyo,akishiba atataka abadilishe na papuchi pia.Shibe ni source of evils pia!
 
Back
Top Bottom