Mke wangu hajiamini, anajiona mbaya kila wakati

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu poleni na majukumu na misiba tunayoipata ndugu zangu.

Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu kuhusu ili swala la mke wangu kujiona mbaya asie na uzuri wowote hali inayompelekea kutojihamini anapokua mbele za watu na ninapotoka nae au anapokuwa mbele zangu mara zote..

Nimejaribu kila namna ya kumpendezesha kwa mavazi, urembo wa hapa na pale na kumsifia ila mambo yanagonga mwamba. Kwani nikimsifia anakataa sifa ninazompa na kunijibu yeye ni mbaya na hana uzuri wowote walionao wanawake wengine. Nimekaa nae chini na kumueleza sipendi anavyojichukulia but amekua akirudia rudia kila wakati na muda mwingine yeye tuu anajishuku na kuniuliza nilimpendea nini na yeye hana uzuri wowote.

Huu ni mwaka wa pili sasa bado anajichukukia hivyo na mimi kama mwanaume ninakasirika sana hali ya kutamani kumpa kichapo kwa jinsi anavyojichukulia na kumrudisha kwao au kumpotezea mpaka atakapo jirekebisha.

Naombeni ushauri ni mfanye nini huyu kwa kweli
 
Itakuwa kuna mambo ameona au kusikia kutoka kwako.

Mfano kama unapicha za warembo kwenye simu yako au unatembelea kurasa za watoto wazuri naye akaliona hilo, imemtoa kwenye reli.

Ama una tabia ya kusifia shape au uzuri
Wa warembo wengine hata kwenye Tv.

Huenda ukitoka nae unakuwa macho juu juu kama ya chura ukiangaza huku na kule mara uonapo tu wadada wazuri.

Tatizo ni wewe kaka.
-anza kubadilika wew utokapo nae kuwa busy nae.

-Usimsifie mara kwa mara au ukampa sifa kupita kias hadi yeye mwenyew akahis unamdanganya.

-Msifie anapo toka saloon au avaapo mavaz mapya ila wakati mwingne mara moja moja unakuwa tofauti mfano ukimwambia vazi hili zuri umependeza ila halishind la siku ile inasaidia asione unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Itakuwa kuna mambo ameona au kuskia kutoka kwako.

Mfano kama unapicha za warembo kwenye sim yako au unatembelea kurasa za watoto wazuri naye akaliona hilo, imemtoa kwenye reli.

Ama unatabia ya kusifia shape au uzuri
Wa warembo wengine hata kwenye Tv.

Huenda ukitoka nae unakuwa macho juu juu kama ya chura ukiangaza huku na kule mara uonapo tu wadada wazuri.

Tatizo ni wewe kaka.
-anza kubadilika wew utokapo nae kuwa busy nae.

-usimsifie mara kwa mara au ukampa sifa kupita kias hadi yeye mwenyew akahis unamdanganya.

-msifie anapo toka saloon au avaapo mavaz mapya ila wakati mwingne mara moja moja unakuwa tofauti mfano ukimwambia vazi hili zuri umependeza ila halishind la siku ile inasaidia asione unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Umemaliza
 
Ni kawaida kwa wanawake wengi hali inayopelekea wengine wao kuwa na wivu kupitiliza kwani haamini kama yuko peke yake na pia hupelekea kwenda kwa waganga kukupa 'limbwata' usiwaze kwingine.

Kama wakwako hajafikia hayo mawili jiandae atafika tu.. ushauri tu kuwa mkali sana kwahilo, mtishie kuwa anakufanya uwaze kuchepuka na kuwa akiendelea na ujinga wake atabadili mambo
 
Habari za wakati huu poleni na majukumu na misiba tunayo ipata ndugu zangu.

Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu kuhusu ili swala la mke wangu kujiona mbaya asie na uzuri wowote hali inayo mpelekea kutojihamini anapokua mbele za watu na ninapo toka nae au anapo kua mbele zangu mara zote..

Nimejaribu kila namna ya kumpendezesha kwa mavazi, urembo wa hapa na pale na kumsifia ila mambo yanagonga mwamba . Kwani ni kimsifia anakataa sifa ninazo mpa na kunijibu yeye ni mbaya na hana uzuri wowote walio nao wanawake wengine. Nimekaa nae chini na kumweleza sipendi anavyo jichukulia but amekua akirudia rudia kila wakati na muda mwingine yeye tuu anajishuku na kuniuliza nilimpendea nini na yeye hana uzuri wowote.

Huu ni mwaka wa pili sasa bado anajichukukia hivyo na mimi kama mwanaume nina kasirika sana hali ya kutamani kumpa kichapo kwa jinsi anavyo jichukulia na kumrudisha kwao au kumpotezea mpaka atakapo jirekebisha.

Naombeni ushauri ni mfanye nini huyu kwa kweli
Hebu weka picha yake hapa kwanza, tujadili vitu vinavyoonekana kwa macho
 
Itakuwa kuna mambo ameona au kuskia kutoka kwako.

Mfano kama unapicha za warembo kwenye sim yako au unatembelea kurasa za watoto wazuri naye akaliona hilo, imemtoa kwenye reli.

Ama unatabia ya kusifia shape au uzuri
Wa warembo wengine hata kwenye Tv.

Huenda ukitoka nae unakuwa macho juu juu kama ya chura ukiangaza huku na kule mara uonapo tu wadada wazuri.

Tatizo ni wewe kaka.
-anza kubadilika wew utokapo nae kuwa busy nae.

-usimsifie mara kwa mara au ukampa sifa kupita kias hadi yeye mwenyew akahis unamdanganya.

-msifie anapo toka saloon au avaapo mavaz mapya ila wakati mwingne mara moja moja unakuwa tofauti mfano ukimwambia vazi hili zuri umependeza ila halishind la siku ile inasaidia asione unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kwa kweli sina tatizo na mke wangu na ninamkubali sana ila tuu tatizo ni yeye kujiona mbaya. Navunjika sana moyo na nimesha mweleza mara kadhaa ila bado anarudia rudia. Kuna kipindi aliniomba ela nikampa ela ya kusuka mtindo alio upenda yeye but alipo rudi huwezi amini nilipo mwambia umependeza majibu aliyo yatoa nilivunjika sana moyo na kukata tamaa kabisa ila nilijikaza kiume sana.. na ilipo fika siku ya tatu akafumua zile nywele na kusema yeye sio mzuri
 
Habari za wakati huu poleni na majukumu na misiba tunayo ipata ndugu zangu.

Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu kuhusu ili swala la mke wangu kujiona mbaya asie na uzuri wowote hali inayo mpelekea kutojihamini anapokua mbele za watu na ninapo toka nae au anapo kua mbele zangu mara zote..

Nimejaribu kila namna ya kumpendezesha kwa mavazi, urembo wa hapa na pale na kumsifia ila mambo yanagonga mwamba . Kwani ni kimsifia anakataa sifa ninazo mpa na kunijibu yeye ni mbaya na hana uzuri wowote walio nao wanawake wengine. Nimekaa nae chini na kumweleza sipendi anavyo jichukulia but amekua akirudia rudia kila wakati na muda mwingine yeye tuu anajishuku na kuniuliza nilimpendea nini na yeye hana uzuri wowote.

Huu ni mwaka wa pili sasa bado anajichukukia hivyo na mimi kama mwanaume nina kasirika sana hali ya kutamani kumpa kichapo kwa jinsi anavyo jichukulia na kumrudisha kwao au kumpotezea mpaka atakapo jirekebisha.

Naombeni ushauri ni mfanye nini huyu kwa kweli
Itakua ulishawa mkosoaga wewe
 
Ni kawaida kwa wanawake wengi hali inayopelekea wengine wao kuwa na wivu kupitiliza kwani haamini kama yuko peke yake na pia hupelekea kwenda kwa waganga kukupa 'limbwata' usiwaze kwingine.

Kama wakwako hajafikia hayo mawili jiandae atafika tu..ushauri tu kuwa mkali sana kwahilo, mtishie kuwa anakufanya uwaze kuchepuka na kuwa akiendelea na ujinga wake atabadili mambo
Asante kwa ushauri wako kwa kweli nitaufanyia kazi sana hasa kwenye ukali, nitazidisha maradufu
 
Monosymptomatic hypochondriacal psychosis (Somatic type of delusional disorders)

Hawa wenye hii shida huwa wanajichukia, anaweza chukia makalio, miguu, matiti, sura yakee , anajiona mbaya n.k

Mpe muda wako

Endelea kumsifia kwa vitendo uku ukimshika shika, "Wife unamakalio manono".. Yaan huwa nikikuwaza tu nasisimka.

Toka nimezaliwa sijawahi kutana namwanamke mtamu kama wewe, umefanya wanawake wengine huko mtaani niwaone takataka...embu twende unipe kwanza My wangu Mtamu.

Kwa ufupi...huyo tiba yake nikuendelea kumjali, kumsifia, ili ajiamin hata mbele ya wanawake wenzake.

Usiwaambie watu WANAUME udhaifu huu wa mkeo..... Ukiwaambia na km wanamjua , WATAKUCHUKULIA MKE SANA.
 
Kwa kweli sinatatizo na mke wangu na nina mkubali sana ila tuu tatizo ni yeye kujiona mbaya. Na vunjika sana moyo na nimesha mweleza mara kadhaa ila bado anarudia rudia. Kuna kipindi aliniomba ela nikampa ela ya kusuka mtindo alio upenda yeye but alipo rudi huwezi amini nilipo mwambia umependeza majibu aliyo yatoa nilivunjika sana moyo na kukata tamaa kabisa ila nilijikaza kiume sana.. na ilipo fika siku ya tatu akafumua zile nywele na kusema yeye sio mzuri

Hebu mwambie mkae wote kwenye kioo, mwambie nataka nikukule muinamishe kidogo huku manjiangalia wote kwenye kioo na ukimsihi ajione alivyo na mvuto katika kumuaminisha yeye ni wa kiwango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom