Salamu za upendo kwa pisi zote zisizo na choyo!

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,602
Kuna hizi pisi nimezikumbuka mpaka nikasema, jamani kuna wanawake wanaroho nzuri.

Ukweli sisi wanaume hamna kitu tunapenda kama unakutana na mwanamke halafu unamuomba game siku hiyo hiyo anakupa tena anatoa ushirikiano wa kutosha. Yaani unashangaa analivuta likichwa analipiga busu mwaaaah!! jamani. Yaani mtoto AK ulinikosha sana siku ile!!!!

Yaani ukifanikiwa kupata pisi ya namna hiyo, huwez kuisahau kamwe..

Pisi zenye choyo, hizi salamu ziwapite kushoto maana usumbufu wenu unatukera sana, ni vile hamujui tu, mnavotuudhi.

Uzi tayar
 
Halafu hao hao wanawake mnaosema hawana choyo ndiyo hao hao baadaye mnawaita malaya! Na kusema "demu gani unalitongoza siku hiyo hiyo linakubali na siku hiyo hiyo linakupa mzigo"!

Mwisho wa siku mnaoa hao hao mnaosema ni wachoyo kwa minajili ya kwamba ni wagumu kutoa mzigo hivyo ni wagumu kusaliti waume zao! Wanaume wengi wa kiafrika hamjisomi!
 
Mungu bariki sana mapisi vibonge kwani ndiyo zao hizo.Mimi nilipigwa busu la paji la uso na pisi kibonge.Atakaewaponda vibonge na alaaniwe!
hilo busu la paji la uso ni hatar sana.. ukiwa kwenye mtanange.. akikupiga mwaah pale kwenye paji.. unalisikilizia mpaka kwenye ubongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom