Fursa zipo kila mahali , kinachotakiwa ni jicho tu la kuziona na kuzifanyia kazi..baada ya hapo unatulia na kula hela...
Date my family Tanzania ipo nchi zingine pia kwa majina ya hizo nchi.. Ni...
Jaman habari za wakati, Kwanza wote polen na kuondokewa na kiongozi wa Kitaifa.
Mimi Nina mchumba kabisa kabisa. Ila wandugu yamenikuta leo. Nimevusha kadogodogo furani na nikafanikiwa kukimbiza...
Wale tuliowahi kuambiwa taarifa hizi za kusitkitisha na kuvunja moyo njooni tupeane moyo na nguvu za kuendelea na maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo.
Kuna wengine hadi walikaribia kufirisika wengine ushindani ulikuwa mkali nk.
Tupe uzoefu wako
Hii imezoeleka na sasa hivi imeshakuwa kama kawaida yetu wanaume wote kuambiwa tunapenda kutest mitambo hata kabla ya chochote kile,sawa tumekubali hii kwetu (hasa mimi) kukaa na wewe kama kaka na...
Salaam,
Naomba tuzungumzie hili suala mana inawezekana wengi wanateseka lakini hawajui. Kwa watu wenye uelewa juu ya hili ni vizuri kutueleza.
Karibuni.
Leo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako.
Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena...
Imenitokea jana nimekutana na dada ambaye tumesoma naye nikaenda naye kwenye bar ya karibu,matokeo yake kaanza kuagiza vinywaji hata majina ana babaika,kiungwana wanaume tulio wengi uwezo wetu ni...
Ushauri wakuu
Kuna binti (mpenzi) kanigeuza Erick Omondi maana siku hizi akiwa bored ndio ananitxt ili tuchat acheke ila tukipanga aje maskani anadai kwa sasa yuko busy hawezi pata muda wa kuja...
Omekua kawaida sasa kuona kila anayekutongoza anajaribu kuonesha how much he has. labda hii inachangiwa na namna tunavyoonekana kuwa ni viumbe tunaopenda kuhongwa. Utakuta msg inbox, "umekula?"...
Dereva Roger Bouvier
Ramani ya Tunnel lilipopita
Celine Figard
Baba wa Celine Bernard Figard
Nimelazimika kuweka huu mkasa leo hii siku ya Alhamisi kwa sababu kesho Ijumaa nasafiri kwenda...
Habari wana JF
Niende kwenye maada hawa wake za watu na wamam watu wazima wanaonga kiwango cha SGR
Nina experience kwenye hili Kwahiyo nawasihii vijana mnaopigwa vizinga deile hamieni upande...
Wadau
Habari za asubuhi hivi kuna haka katabia sisi mabachelor wenye vyumba viwili na kitanda kimoja tukipata wageni mara nyingi wageni wanakuja na mashuka yao huwa hatujui kama wasafi au Lah mara...
Wakuu habari za kushinda, poleni na majukumu.
Leo nataka niwakumbushe wanao tafuta Mke au Mume humu ndani.
Wakisha pata basi kwenye nyuzi zao waseme kama washapata.
Siyo mtu amepata anae mtafta...
Natafuta mwanamke aliye na utayari wa ndoa,uwe Dar, uwe na akili timamu, age 21-30, uwe na ajira..sitaki tegemezi & uwe vzur kiuchumi..sichagui dini au kabila Mimi nna 31. .mchapa kaz na mpenda...
Single mother umekua wimbo saizi, kesi zetu ni nyingi tunachekwa na kudiscussiwa sana but ndo ishatokea Maisha hayana rewind button.
Haya wajameni ushauli wenu ni muhim kwa single mother mim...
Tuanze kama ifuatavyo
JIFUNZE KUSAMEHE NA KUSAHAU:
Hakuna jambo ambalo hutuliza fikra na hisia za mapenzi kama kukubali kumsamehe yule aliyekuudhi kabla hata hajakuomba msamaha na kuamua kusahau...
Mojawapo ya mambo muhimu katika mafanikio ya aina yoyote maishani ni kupata msaada wa aina Fulani kutoka kwa watu wengine. Mtu hawezi kufanikiwa bila msaada wa watu,kwa maana hakuna mtu anayejua...
Habari za leo wakuu,
Katika swala la kuoa wakuu, tusilete mchezo tuoe wanawake wenye hela, kazi nzuri, na wanaotokea familia za kitajiri ili hata siku usipokuwepo watoto wako wasipate shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.