Wanawake watu wazima na wake za watu wanaonga kiwango cha sgr

JMipicha

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
705
1,070
Habari wana JF

Niende kwenye maada hawa wake za watu na wamam watu wazima wanaonga kiwango cha SGR

Nina experience kwenye hili Kwahiyo nawasihii vijana mnaopigwa vizinga deile hamieni upande wa pili mje kula mema ya nchi ..

Uzi tayari...
 
Kwa hiyo na wewe unahongwa

Mariooo 😂😂

Vijana tutafute hela zetu kwa jasho letu wenyewe
 
Habari wana JF

Niende kwenye maada hawa wake za watu na wamam watu wazima wanaonga kiwango cha SGR

Nina experience kwenye hili Kwahiyo nawasihii vijana mnaopigwa vizinga deile hamieni upande wa pili mje kula mema ya nchi ..

Uzi tayari...
Kama upo Dar nipe DM namba ya wamama wawili nikakusaidie
 
Back
Top Bottom