Kunyanyaswa kisaikolojia

mfano; umetumbuliwa na MEKO then mkeo kawa baaunsa ndani ya nyumba inafika point anakurushia hadi pempas za mtoto zilizonyewa uzifue.
 
Kwajinsi ulivyoandika huu uzi ni wazi kuwa unanyanyasika kisaikolojia.

Inabidi upate counselling.
Hapana mkuu.
Nimeandika kutokana na kusoma nyuzi nyingi humu watu wanapata shida ya kisaikolojia alafu hawajui na hakuna anayezungumzia.
 
Pole kwa yote funguka vizuri zaidi upate kueleweka.
Nimeandika ili kwa wanaojua haya maswala watueleze zaidi, maana ni jambo ambalo silioni likizungumziwa sana mitandaoni.
Kama ukifuatilia thread nyingi humu utagundua watu wengi wanateseka/kunyanyasika kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom