Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Haiwezekani mtu kila nikiongea nae jambo lolote la maendeleo jibu lake ngoja nimshirikishe wife Mwaka juzi tulipanga mambo flani ya kujikwamua kiumchumi mchongo flani ukitulia hukosi hela za...
22 Reactions
41 Replies
5K Views
Nilikuwa ni mmoja wa wanaoponda single mamas humu ila mungu sio Athumani nikapata ka mama fulani hivi ka makamo nikaanza kujilia vyangu. Mahusiano yetu yakadumu kwa wiki mbili nikiwa nafikiri kwa...
9 Reactions
90 Replies
10K Views
Nimeona majimbo mengi yakiongozwa na wabunge wa hovyo hovyo yakawa na maendeleo mazuri ihali mengine yanayoongozwa na wabunge wa maana yakiwa hayafanyi vyema. So its safe to assume that all a...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Naombeni mwongozo huyu huyu mwanamke nilienae anahitaji nifike kwao akanitambulishe nyumbani, Kama mnavyojua ukweni kabla ya kwenda kuna maandalizi ni lazima uyafanye ili usije ukaibika hivyo...
2 Reactions
40 Replies
11K Views
Habari zenu wadau, Nilikua nahitaji mitazamo yenu kuhusu kuzaa watoto, je kuna ulazima wa kuwa na mtoto hapa duniani hata kama umeoa? Binafsi mimi sipendi watoto na sina mpango wa kupata mtoto...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Wakuu, Ni furaha ilioje jioni hii ya leo nikiwa nimerudi toka mahangaikoni nimechoka vibaya mno, kuna bibie ana siku ya 3 yupo hapa kwangu. Sitaki kusema ni new project, ila ni msichana fulani...
12 Reactions
121 Replies
14K Views
Unatafuta nyasi jangwani? Hivi enzi hizi ni za kutafuta bikra? Tena mjini! Ewe mwanaume acha kuhangaika kuhusu bikra. Hakuna! Narudia tena hakuna. Sifa nilizopewa leo sistahili maana ilikuwa...
5 Reactions
70 Replies
12K Views
Habari za jioni wapendwa wote. Sawa na kichwa cha Uzi hapo juu,naombeni mchangi wenu wa mawazo katika hili. Mimi ni mtoto wa 2 kuzaliwa katika tumbo la mama yangu nikitanguliwa na dada yangu na...
2 Reactions
144 Replies
9K Views
Habari zenu wakubwa! Kuna hili suala ambalo linanishangaza. Utakuta mtu yuko na mwanamke mzuri faragha lakini wamezima taa!.!? Binafsi napokuwa faragha naburudika sana ninapoona jumbile la...
23 Reactions
165 Replies
24K Views
Wakuu kuna tatizo lolote kufanya mapenzi wakati bibie yupo kwenye siku zake maana kusubiria zile siku kadhaa inakuwaga mtihani sana kwa vile mimi ni mwanasimba nacheza hivyo hivyo pira biriani...
4 Reactions
39 Replies
13K Views
Jamani unajua "no body is perfect" thats why mimi nimeamua kuongea kuhusu udhaifu wangu katika sector ya mapenzi hasa kwenye kipengele cha "cha maneno ya kubembeleza" so jamani kwa mtu mwenye...
1 Reactions
25 Replies
560K Views
Wanawake wengi Utakuta wana matatizo ya kiafya ya mda mrefu na ya kujirudiarudia mfano utakuta mwingine hapatani na vitu vya baridi akitumia tu hata kidogo au akila kitu flan basi moja kwa moja...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kweli mapenzi hayana komando nimeamini. Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini. Eti anasema simjali kwani...
13 Reactions
55 Replies
7K Views
Nikikumba wakati nikiwa kwenye 20s na early 30s, nilikuwa na uwezo Mkubwa Sana wa kupiga game. Ingawa nilioa nikiwa na 30, nilikuwa nipo fit kitandani. Mola kanijaalia nimepata na watoto 4, sasa...
17 Reactions
76 Replies
8K Views
Mungu aliposema tuishi nao kwa akili alikuwa na maana yake kwasababu alijua kwamba wana akili sana na ni yeye ndiye aliyewaumba, usijaribu kumbishia kwasababu kipindi anawaumba wewe hukuwepo...
17 Reactions
43 Replies
8K Views
Kama title inavyojieleza wakuu, Nina mpenzi wangu nampenda sana naye ananipenda Japo csijui ni kwa kiacsi gani kwasababu kila mtu na moyo wake. Sasa huwa inafka muda mwanaum huwa nahitaj...
2 Reactions
67 Replies
9K Views
Wakuu huwa inatokea unakutana na mwanamke alafu akawa anakomaa aje/apajue unapoishi... Sasa kwa mwingine inawezekana akawa ana mke, au basi tu hataki kuleta wanawake nyumbani ili kulinda brand...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Wapendwa naombeni sijui ushauri au sijui niseme faraja mana hata sielewi mimi ni mdada umri 27 mwaka jana December nilifungua mtandao unaitwa Badoo huko ili nipate marafiki wa kuniliwa kama vile...
5 Reactions
100 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…